Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

Na wanaobeba magarasa yakawashangilie? Pesa wanazitoa wapi!
 
Lakini hata kama 2019 hakikukamilika 2023 kingekuwq kimekamilika. Acha chuki.
 
Inashindwaje kuwalipa kama sio moja ya mikakati ya kuhujumu mradi,mbona pesa za kuchezea mambo ya hovyo wanayo tele
Hela zinapigwa na Wanasiasa na familia zao na Watumishi wa Umma na hayo mambo ya "hovyo" ndio mwanya wa kupiga.

Lakini wenye Maloli na Mabasi huwa wanasingiziwa kwa kila failure.

Mimi niko kwenye sekta ya Usafirishaji wa mizigo migumu na Vimiminika hatari nimejionea.

Utakuta Barabara ina shimo dogo TANROADS wako kimyaa lile shimo linakua na kufikia saizi ya Handaki Wananchi wanaanza kulalamika anakuja Afsaa wa TANROADS huku ameambatana na Mwanasiasa ili kuja "Kuwapoza" Wananchi, wanasema ni Malori ndio yanaharibu Barabara😁

Huko ni kukwepa WAJIBU wao
 
JPM alisema" hivi ikitokea Mungu akanichukua leo,haya ninayoyafanya wataweza kuyaendeleza kweli?" Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ujenzi wa meli ya mwanza delayed,ujenzi wa sgr delayed,bwawa la umeme delayed,ujenzi wa meli bahari ya Hindi pyuuuu,umeme mgawo mkali,mwendo Kasi delayed. Na mengi ya hovyo.
 
Huna hoja kenge wewe
 
Unaweza kuwa uko sawa lakini tatizo ni kuwa hujui chanzo cha tatizo. Wewe unaona chanzo cha tatizo ni walafi wachache wanaotaka kujinuafaisha. Mimi nasema siyo. Mimi nasema chanzo cha tatizo ni mfumo wetu unaotoa nafasi kila kiongozi kuingia na kupanga mipango yake ya maendeleo kulingana na utashi wake. Chanzo cha tatizo ni mfumo tulionao unawezesha watu wa aina ya kina January kuingia kwenye mfumo, kudumu kwenye mfumo hata pale wanapofanya mabaya yao, na pia kuweza kuwa na sauti ya kubadili vitu watakavyo. Tunarudi kule kule. Bila katiba nzuri yenye kutuwezesha kurekebisha hizo kasoro ni bure... mtafungua thread kila siku lakini hakuna kitakachobadilika.
 
Tatizo la Magufuli alikuwa na upeo mdogo wa ki-uongozi. Kama alijua yote haya mbona hakuweka mifumo mizuri ya ku-counter check haya matatizo? Miaka mitano yote aliyokaa ni mingi na alikuwa anafanya one man show kwenye kila kitu wakati nchi kubwa kama Tanzania huwezi kufanikiwa kwa hilo. Magufuli ndiyo alikuwa mpinzani mkubwa wa kubadili mfumo wetu wa uongozi wakati una loopholes kibao. Hivi ilihitaji unabii kuona kuwa binadamu yoyote anaweza kufariki muda wowote na kuwa Magufuli akifa nchi itabaki kwa Samia ambaye alikuwa na ukaribu na hao kina January ambao nao wana ukaribu mkubwa na ufisadi?
 
Kiongozi wa kuhujumu nchi si anajulikana,sijajua kwanini anaogopwa yaani anafanya anavyotaka kama nchi hii ni ya ukoo wao!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Dah, aisee viongozi wa Tanzania ni wabobezi kwa ujambazi wizi, upigaji duniani.

Tuanzishe vyuo vya upigaji, Nafikiri washindani wetu watakuwa Nigeria. Hili genge linalotuongoza litashinda asubuhi na mapema.
 
Hilo bwawa mnajaza kwa mvua zipi,miradi yake yote imejaa ufisadi wa kutisha
 
Wamekamatwa??

Wewe nawe ni mjinga fulani hivi na unaushabiki wa kipumbavu tu!

Hao walioundiwa tume kwa madai ya kificha pesa China walikamatwa??

Unaushahidi wa kuwa hakukuta pesa BoT??
Nafuu mimi ni mjinga, ila wewe ni hayawani ambaye bado unaamini Mwendazake alikuwa mzalendo kama alivyowadanganya
 
Wacha uwehu wako!! Nini Dar Dodoma?. Kipande cha Moro-Dar kilipangwa kianze Novemba 2019. Magufuli kafariki March 2021 bila kuanza. Leo hii Misukule ya Magufuli inasema Samia kachelewesha.

Wadanganyeni watoto wenu na wajinga wenzenu. Magu alianzisha miradi mikubwa kwa wakati mmoja bila kujua vyanzo vya fedha ya ujenzi atapata wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…