Acha Uchochozi ! Miradi yote tunalipa kwa CashYeah,halafu miradi yote hiyo tunatekeleza kwa mikopo ya kimya kimya.
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5.
1. Ununuzi wa ndege za abiria
2. Ununuzi wa viongozi wa vyama vya upinzani
3. Ukamataji wa wananchi wanaotoa taarifa za majanga kinyume na matakwa ya watawala.
4. Ugunduzi wa technologies mpya ya ujenzi inayo julikana kama Expansion joints .
5. Ujenzi wa uwanja wa nyumbani .
wananchi tuonyeshe ushirikiano.

Mtasema mengi sanaIfuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5.