Miradi mikubwa awamu ya 5

Miradi mikubwa awamu ya 5

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5.

1. Ununuzi wa ndege za abiria
2. Ununuzi wa viongozi wa vyama vya upinzani
3. Ukamataji wa wananchi wanaotoa taarifa za majanga kinyume na matakwa ya watawala.
4. Ugunduzi wa technologies mpya ya ujenzi inayo julikana kama Expansion joints .
5. Ujenzi wa uwanja wa nyumbani .

wananchi tuonyeshe ushirikiano.
 
Yeah,halafu miradi yote hiyo tunatekeleza kwa mikopo ya kimya kimya.
 
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5.

1. Ununuzi wa ndege za abiria
2. Ununuzi wa viongozi wa vyama vya upinzani
3. Ukamataji wa wananchi wanaotoa taarifa za majanga kinyume na matakwa ya watawala.
4. Ugunduzi wa technologies mpya ya ujenzi inayo julikana kama Expansion joints .
5. Ujenzi wa uwanja wa nyumbani .

wananchi tuonyeshe ushirikiano.

hahaha pamoja na bomoa bomoa
wahanga wa sandandarusi kuongezeaka
uvamizi wa studio
............... rambirambi kuelekezwa kwenye shughuli zingine
haaha
 
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5.

1. Ununuzi wa ndege za abiria
2. Ununuzi wa viongozi wa vyama vya upinzani
3. Ukamataji wa wananchi wanaotoa taarifa za majanga kinyume na matakwa ya watawala.
4. Ugunduzi wa technologies mpya ya ujenzi inayo julikana kama Expansion joints .
5. Ujenzi wa uwanja wa nyumbani .

wananchi tuonyeshe ushirikiano.

6. Uuuzaji wa nyumba za Lugumi kwenye 900 inapendeza
 
8. Kutembelea bandari na kukamata magari. haaa
 
Tanzania ndo tushakuwa wajenzi wa dunia hata kwa trump hakuna tz oyee
 
Ifuatayo ni miradi mikubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya 5.

1. Ununuzi wa ndege za abiria
2. Ununuzi wa viongozi wa vyama vya upinzani
3. Ukamataji wa wananchi wanaotoa taarifa za majanga kinyume na matakwa ya watawala.
4. Ugunduzi wa technologies mpya ya ujenzi inayo julikana kama Expansion joints .
5. Ujenzi wa uwanja wa nyumbani .

wananchi tuonyeshe ushirikiano.
Mtasema mengi sana
 
d2c6683f50f1912bace98b438643f5d3.jpg
 
Back
Top Bottom