Aiseee, Ni Los Angeles ama?Well,Kenya wamejaribu,sisi tuanthubutu kufanya kile tunachokifanya na kinaonekana kwa macho,miradi yote hiyo ambayoo imeonekana katika picha na mingine kupambwa kwa maneno ni miradi ya kwenye makaratasi kwa maana ya kwamba haipo na mingin bado hata haijazinduliwa au hata kujadiliwa bungeni,kwa ufupi tu embu chukua muda kutazama hii miradi mikubwa ya Tanzania ambayo imeshajadiliwa na hatua za awali zimeanza kutekelezwa kwa ufanisi mkubwa.tena na inasemekanika mara bada ya kumalizika kwa hii miradi TANZANIA itakuwa 1Kitovu cha utalii Afika mashariki,2 Kimbilio la wafanyabiashara kutoka Duniani,3 itaboresha maisha ya Mtanzania kwa ujumla,VIVA TANZANIA....!!! tazama hizi hapa video ujionee miradi ya tanzania mabyo huijui na amabyo iko katika hatua za utekelezaji
AbsolutelyHahaaa! taratibu mwenzangu. Kuwa mjasiri na mtu ambaye unaweza jitetea. Mbona hata sisi hutukanwa tuu humu lakini hatubanduki? Ni kama masumbwi, ukinizonga za jicho nami nakujibu kwa za mapua ili mradi tuambulie sare. Nikikudharau vile mapua kama firimbi hauna budi kunikumbusha vile tako sawa na la sokwe. Ninamaanisha ya kwamba hapa ni kugaragazana tuu hadi nyasi zitokomee na vilevile vumbi itifuke. Huo ndio utamu wa kinyang'anyiro. Hata ukizima nyuzi zetu humu bado tutakabiliana kwengineko tuu. Na vile vile JF itapoteza utamu wake. Yaani, hapatakuwa na la kushindania wala geni la kujifunza.
Most of the projects in TZ are still on paper while Kenya is busy executing what is on paper.Aiseee, Ni Los Angeles ama?
Such a beautiful development... Very much welcomed.Ocean seven towers at the Coast coming up nicely! 23 FLOORS for the tallest tower
Are you sure that is in Kenya?View attachment 364614 kericho highway
Dear Kenyan idiot,View attachment 364614 kericho highway
GREENWOOD PARK
MERU
View attachment 364857
Progress...
View attachment 364858 View attachment 364860
View attachment 364861
View attachment 364862
I repeat, Meru Town.
Hehe... Most county HQs are now booming with economic activities.Meru city! I was surprised to see a jam in that town!...
Serious wakenya washamba sana nyie, msione tupo kimya watanzania kwsababu cc cyo washamba,
Hili ni Daraja la Nyerere
Mradi wa mabasi yaendayo kasi na ushaanza
nihamie Kenya?Tukiweka kiushindani mnalia sana hadi mnafanya nihisi huruma, wakati nyie ndio mnaanzisha ushindani.
Hamna siku mtaweza kushindana na sisi kwa lolote, mpo mbali sana tena huko nyuma. Tulia tutiririke mambo ambayo yanatendeka huku ambayo yanafanya niipende nchi yangu kwa moyo wote.
Meru city! I was surprised to see a jam in that city!...
For eldy though it "was" just poor planning...I hope the situation has improved. Uganda and Iten road were terrible.Same here. Jam hupatikana hadi Homa Bay, i kid you not... Kenya is more than Nairobi and Mombasa......
For eldy though it "was" just poor planning...I hope the situation has improved. Uganda and Iten road were terrible.
I think Iten road should be dualled, and a ring road is needed to ease the pressure from Ug road...I actually think Nairobi is better, the jam in eldy should be handled soon or else...Eldoret is fast becoming a Nairobi of some sort.Crazy traffic jams as from 4pm.