Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Kenya walichagua MAENDELEO Tanzania wakachagua SIASA. Kenya wana KATIBA nzuri Tanzania walitumia mabilioni ya pesa kwa ajili ya kutengeneza KATIBA na hatimaye yakapotea bure bila kupata KATIBA. Tanzania watabaki kuwa watazamaji wa maendeleo ya Kenya.
 
Well,Kenya wamejaribu,sisi tuanthubutu kufanya kile tunachokifanya na kinaonekana kwa macho,miradi yote hiyo ambayoo imeonekana katika picha na mingine kupambwa kwa maneno ni miradi ya kwenye makaratasi kwa maana ya kwamba haipo na mingin bado hata haijazinduliwa au hata kujadiliwa bungeni,kwa ufupi tu embu chukua muda kutazama hii miradi mikubwa ya Tanzania ambayo imeshajadiliwa na hatua za awali zimeanza kutekelezwa kwa ufanisi mkubwa.tena na inasemekanika mara bada ya kumalizika kwa hii miradi TANZANIA itakuwa 1Kitovu cha utalii Afika mashariki,2 Kimbilio la wafanyabiashara kutoka Duniani,3 itaboresha maisha ya Mtanzania kwa ujumla,VIVA TANZANIA....!!! tazama hizi hapa video ujionee miradi ya tanzania mabyo huijui na amabyo iko katika hatua za utekelezaji


Aiseee, Ni Los Angeles ama?
 
Hahaaa! taratibu mwenzangu. Kuwa mjasiri na mtu ambaye unaweza jitetea. Mbona hata sisi hutukanwa tuu humu lakini hatubanduki? Ni kama masumbwi, ukinizonga za jicho nami nakujibu kwa za mapua ili mradi tuambulie sare. Nikikudharau vile mapua kama firimbi hauna budi kunikumbusha vile tako sawa na la sokwe. Ninamaanisha ya kwamba hapa ni kugaragazana tuu hadi nyasi zitokomee na vilevile vumbi itifuke. Huo ndio utamu wa kinyang'anyiro. Hata ukizima nyuzi zetu humu bado tutakabiliana kwengineko tuu. Na vile vile JF itapoteza utamu wake. Yaani, hapatakuwa na la kushindania wala geni la kujifunza.
Absolutely
 
Ocean seven towers at the Coast coming up nicely! 23 FLOORS for the tallest tower
103.png


YhKaHLt.jpg


9Ss9WDt.jpg


gf15Gs0.jpg
 
Aiseee, Ni Los Angeles ama?
Most of the projects in TZ are still on paper while Kenya is busy executing what is on paper.
1.Konza City
2.Tatu City
3. Standard Guage railway
4.Lamu port
Among so many.

Now ask your self which major Tz project has been executed before adding more to the list..

And some stupid people are still exited with new fantasy. Grow up
 
Serious wakenya washamba sana nyie, msione tupo kimya watanzania kwsababu cc cyo washamba,
Hili ni Daraja la Nyerere
ead7d4fc37e53deffea465c822ea29d0.jpg
78078dd6f20951442e05c9f047245afb.jpg


Mradi wa mabasi yaendayo kasi na ushaanza
3fa834b8bda8b366dc28710f2b922eed.jpg
43e40d84056c58937f924f861a8beb4c.jpg
 
Bomba kubwa la gas from mtwara to dar es salaam na limekamillika
2e3f45bc31ef4e4f6bbc659b56f1f604.jpg
e2356f3934e7ae95c79c408c46ce402d.jpg
b714d63d38f1da60829a0c1aa6518fbf.jpg


Tazara flyover
e8f1b5c5ee282ac9a8d7bc32542e18df.jpg


Nyerere bridge usiku
8cfe6e5acb039bafe62bbc0bcc0591d2.jpg
18f91a83b52fbc7221becbc49162ce8a.jpg


Seven eleven project
604e67aa737d962a4703cef1a4ce323d.jpg


Moroco square
7a2bb934ee2cef78b6b38ac92017edcf.jpg


Quality Center
5fd978c15bdb40a04b526c8e9bfac2c8.jpg

c5406a0b33e643d5cdfad4712aa94b8e.jpg


Mkuki the mall
d57d70a9791554cdf784143def84927f.jpg
773be0ae09588553f326fa3bf2b76187.jpg
 
Serious wakenya washamba sana nyie, msione tupo kimya watanzania kwsababu cc cyo washamba,
Hili ni Daraja la Nyerere
ead7d4fc37e53deffea465c822ea29d0.jpg
78078dd6f20951442e05c9f047245afb.jpg


Mradi wa mabasi yaendayo kasi na ushaanza
3fa834b8bda8b366dc28710f2b922eed.jpg
43e40d84056c58937f924f861a8beb4c.jpg

Kuna watu washamba na primitive kama wadanganyika kweli? Ati uungwana...Huh! Hadithi zenu za vijiweni!
 
Sijui
Tukiweka kiushindani mnalia sana hadi mnafanya nihisi huruma, wakati nyie ndio mnaanzisha ushindani.
Hamna siku mtaweza kushindana na sisi kwa lolote, mpo mbali sana tena huko nyuma. Tulia tutiririke mambo ambayo yanatendeka huku ambayo yanafanya niipende nchi yangu kwa moyo wote.
nihamie Kenya?
 
Same here. Jam hupatikana hadi Homa Bay, i kid you not... Kenya is more than Nairobi and Mombasa......
For eldy though it "was" just poor planning...I hope the situation has improved. Uganda and Iten road were terrible.
 
For eldy though it "was" just poor planning...I hope the situation has improved. Uganda and Iten road were terrible.

Eldoret is fast becoming a Nairobi of some sort.Crazy traffic jams as from 4pm.
 
Eldoret is fast becoming a Nairobi of some sort.Crazy traffic jams as from 4pm.
I think Iten road should be dualled, and a ring road is needed to ease the pressure from Ug road...I actually think Nairobi is better, the jam in eldy should be handled soon or else...
 
Back
Top Bottom