Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

are you serious?mji wenu gani unacompare na mombasa kando na iyo dar
 
mombasa kawaida mim nimeishi uko kwenu tokea nikiwa na miaka nane na nimeskul uko uko but hapa east africa miji yetu ni vuruguvurugu tu wakujivunia hata hakuna we majiji gan ukitoka tu nnje ya jiji pengine vurumai inabidi uongozi wa kila eneo wakaze tena sana...kwa huu ukanda
 

Heheee... wewe unakurupuka kutoka wapi. Tushafanya hiyo comparison kitambo... Dodoma vs Thika, Nakuru vs Mwanza na majiji yenu bado sana.... Hayo yalionekana vizuri sana. Sasa sijui wasema hadithi zipi hizi za lila na fila....
 

Acha uwongo
 
A
Infrastructure-wise, Kenya is way ahead in the whole East Africa region,
Acha zako wee,Kenya leads east africa in everything,not only infrastructure,but also in education,health,real estate,energy,etc etc...
 
Infrastructure-wise, Kenya is way ahead in the whole East Africa region,
usishindane na Aliyekaribu yako sababu huyo ndyo atakayeweza kukublock coz asilimia kubwa anajua njia zako shindana na aliyembali zaidi la sivyo tutabaki na competition hii hapahapa eat ....


ila japo bado tunakimbizana lakini nimependa takwimu zilizotolewa na UN kama kwa africa kuna nchi mbili toka east africa zinakua kwa kasi...
 
ha haa kingine humu kungeitwa Utani wa watanzania na wakenya..."..maana kila nikichungulia napataga comedy za kutosha ningekuwa mtunzi wa story aisee ningeandika na wahusika ningewaweka nyie nyie
 
And what i have been waiting for, structural designs out and therefore construction soon to commence
The 88 Nairobi Tower






The Pyro Tower

Was revised to 100 floors at 410 m, just waiting, though not optimistic but waiting, if it happens!!​
 

100 floors???.... Nairobi is officially the tower capital of Africa........ You can kill me with a kitchen knife.
 
Upper hill ,upper hill,the financial centre of Africa,a powerful African metropolis,piercing African skies with magnificent breathtaking skyscraper designs,only envied by many,
Nairobi,the African skyscraper city!!!

Eighty Eight Nairobi

88 Nairobi
By Lordship Africa












Hadi nimeshawapa website hapo juu
walopenda kumeza vijembe nimeshawapa vijembe
kukurukakara msije mkatoa damu vinywani......
 
hio ya 100 floors ikianza kua reality hapo ndo ntaamini nothing is impossible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…