Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

wakenya washukuruni wakoloni laiti mngewatimua mapema kama sisi uku tulivyowatimua aisee mngekuwa doro sana....but kaeni mkijua next yearz mtalijua kama jiji la dar ni jiji ama kijiji maana apo tu kidogo shughuli mnaiona....jasho lishaanza kuwatoka mimi nachokipa big up ni uchumi wenu ila kimajengo mpo normal tu....kingine hebu toeni picha za majiji mengine ya nchi yenu kama si vituko
are you serious?mji wenu gani unacompare na mombasa kando na iyo dar
 
mombasa kawaida mim nimeishi uko kwenu tokea nikiwa na miaka nane na nimeskul uko uko but hapa east africa miji yetu ni vuruguvurugu tu wakujivunia hata hakuna we majiji gan ukitoka tu nnje ya jiji pengine vurumai inabidi uongozi wa kila eneo wakaze tena sana...kwa huu ukanda
 
wakenya washukuruni wakoloni laiti mngewatimua mapema kama sisi uku tulivyowatimua aisee mngekuwa doro sana....but kaeni mkijua next yearz mtalijua kama jiji la dar ni jiji ama kijiji maana apo tu kidogo shughuli mnaiona....jasho lishaanza kuwatoka mimi nachokipa big up ni uchumi wenu ila kimajengo mpo normal tu....kingine hebu toeni picha za majiji mengine ya nchi yenu kama si vituko

Heheee... wewe unakurupuka kutoka wapi. Tushafanya hiyo comparison kitambo... Dodoma vs Thika, Nakuru vs Mwanza na majiji yenu bado sana.... Hayo yalionekana vizuri sana. Sasa sijui wasema hadithi zipi hizi za lila na fila....
 
mombasa kawaida mim nimeishi uko kwenu tokea nikiwa na miaka nane na nimeskul uko uko but hapa east africa miji yetu ni vuruguvurugu tu wakujivunia hata hakuna we majiji gan ukitoka tu nnje ya jiji pengine vurumai inabidi uongozi wa kila eneo wakaze tena sana...kwa huu ukanda

Acha uwongo
 
A
Infrastructure-wise, Kenya is way ahead in the whole East Africa region,
Acha zako wee,Kenya leads east africa in everything,not only infrastructure,but also in education,health,real estate,energy,etc etc...
 
Infrastructure-wise, Kenya is way ahead in the whole East Africa region,
usishindane na Aliyekaribu yako sababu huyo ndyo atakayeweza kukublock coz asilimia kubwa anajua njia zako shindana na aliyembali zaidi la sivyo tutabaki na competition hii hapahapa eat ....

ila japo bado tunakimbizana lakini nimependa takwimu zilizotolewa na UN kama kwa africa kuna nchi mbili toka east africa zinakua kwa kasi...
 
athi river
Digital screens manenos....

15822549_1351755898200003_2741681033982317848_n.jpg

15873372_1350119388363654_4201322941973276796_n.jpg

15873186_1350142618361331_2602283947639906587_n.jpg

kibwezi

16266017_1530532436971733_5728328918778937568_n.jpg
 
ha haa kingine humu kungeitwa Utani wa watanzania na wakenya..."..maana kila nikichungulia napataga comedy za kutosha ningekuwa mtunzi wa story aisee ningeandika na wahusika ningewaweka nyie nyie
 
And what i have been waiting for, structural designs out and therefore construction soon to commence
The 88 Nairobi Tower
fallback_betorphhlywrs0qlxeq7.jpg

IbRubSY.jpg

fZDlETk.jpg

The Pyro Tower

Was revised to 100 floors at 410 m, just waiting, though not optimistic but waiting, if it happens!!​
 
100 floors???.... Nairobi is officially the tower capital of Africa........ You can kill me with a kitchen knife.
 
Upper hill ,upper hill,the financial centre of Africa,a powerful African metropolis,piercing African skies with magnificent breathtaking skyscraper designs,only envied by many,
Nairobi,the African skyscraper city!!!

Eighty Eight Nairobi

88 Nairobi
By Lordship Africa

30514522811_326e095cd5_b.jpg

Gkc26Y9.jpg

wju4x8N.jpg

BidAZby.jpg

nVV51Rc.jpg

Hadi nimeshawapa website hapo juu
walopenda kumeza vijembe nimeshawapa vijembe
kukurukakara msije mkatoa damu vinywani......
 
hio ya 100 floors ikianza kua reality hapo ndo ntaamini nothing is impossible
 
Back
Top Bottom