Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Its been over 1 year since terrorist took a single life of a Kenyan. What are you talking about. If you don't see this kind of development in your country, follow this prescription:
Mwenye wivu, ajinyonge.
Amani Ni Utajiri Mzuri Sana kabla hajapata vingine Una Amani kwanza. It's like this Lose everything and win a war if you lose a war and you gain everything you are a fool But if you lose everything a win a war you a Hero. So you Kenyans which side are you fools or you're at sides of the Heroes?.
If you at side of fools I can't go on arguing against fools since if you argue against such a person soon you will be also called a fool. After all mine I have to talk to my Tanzanians and not you madmen and women from The cursed national (Kenya). The country that people of its own dis- unites themselves shame on you. Ngoja kwanza sisi tuendelee kuwalelea na kuwafugia Hawa kunguru wenzenu walioko huku Tz siku wakirudi they will come and educate you the way human beings should live so kama mnavyoishi kwa kubaguana kama wanyama porini.
 
You tell me...
 
You think some people are smart until you hear them speak.
Please Concentrate much kwenye kujenga Taifa sio kuleta mapicha jamiiforums ya eti Miradi mikubwa pumbafu nyie Kwan sisi hapa kwetu hakuna Kwanza hyo Miradi yenu mnafanya kwa manufaa yenu au kwa Ajili ya Ushindani na Tanzania Yan mtu mzima na msomi unaleta post ya namna kwenye group ya wasomi kama jf What kind of person are you? Crazy, mad.
 
Have you seen anywhere written,"....vs Tanzanian."??
You are the nosy one. Wacha kiherehere, haya mambo haya kuhusu.
Just what l was saying, 'you think someone is smart...'
 
dah makanya umenchekesha sana,
fanya andika kiswahili tu mkuu majamaa watakuelewa poa
 
Kenya ni nchi ambayo inaendanisha na kila kitu kwa pamoja. We know how to suck in the pressure. Mapungufu yetu twayajua na twayashughulikia na huku tukichapa kazi. Nani kakwambia hapa hakuna amani? Kama ni katiba mpya ya kushughulikia haki kama vile ugavi wa raslimali ya nchi kwa usawa tunayo. Tume ya haki na maridhiano ilishaa undwa na inapepea. Mataifa ya ugaibuni yalishaa tambua amani ipo na wakatoa ile ilani ya kuwaonya raia wao kudhuru taifa letu tukufu, tunavyoongea watalii wameanza kutiririka kama maji ya gharika na kuvunja kingo zote za pwani. Usijali, hata sisi twazijua hizo shida zenyu ndogo ndogo kama vile: Udini, Ugawanaji wa minofu haramu za albino nakadhalika. Ila tuu hayo yote wayafumbia macho na ukayakodolea ya kwetu. Ama unataka hata sisi tuseme huo ni ukosefu wa amani. Mkuu nawatakia mema, ila upunguze hasira. Naona tuu vile umegubikwa na gadhabu dhidi yetu majirani.
 
Sina Ghadhabu Ni Mtanzania gani anaweza kuandika kitu akaja kulinganisha na nyie humu acheni wivu WA kike jengeni Taifa lenu kwa manufaa yenu
 
Sina Ghadhabu Ni Mtanzania gani anaweza kuandika kitu akaja kulinganisha na nyie humu acheni wivu WA kike jengeni Taifa lenu kwa manufaa yenu
Hapo ndipo nakuona ukiwa si mkweli! Sema wewe huwezi linganisha. Mbona wenzako wanafanya hivyo humu kila kuchao? Tizama uzi unaolinganisha hoteli za zanzibar na Mombasa na kisha uniambie ni nani mwanzilishi kama sio Mtanzania mwenzako? Mimi binafsi sioni ubaya tukijulishana hatua ambazo tumepiga kimaendeleo. Huwa ni fursa nzuri ya kufunzana kama majirani. Saa zingine mashindano huwa muhimu na husaidia kuinua hali ya kimaisha ya watu.
 
Ni vizuri ILA mi nachukia pale mnapoleta dharau zenyu Aisee kama mi Nina power ya kufuta nyuzi zenu nafuta zote au nawanyanganywa umemba humu.
 
Ni vizuri ILA mi nachukia pale mnapoleta dharau zenyu Aisee kama mi Nina power ya kufuta nyuzi zenu nafuta zote au nawanyanganywa umemba humu.
Hahaaa! taratibu mwenzangu. Kuwa mjasiri na mtu ambaye unaweza jitetea. Mbona hata sisi hutukanwa tuu humu lakini hatubanduki? Ni kama masumbwi, ukinizonga za jicho nami nakujibu kwa za mapua ili mradi tuambulie sare. Nikikudharau vile mapua kama firimbi hauna budi kunikumbusha vile tako sawa na la sokwe. Ninamaanisha ya kwamba hapa ni kugaragazana tuu hadi nyasi zitokomee na vilevile vumbi itifuke. Huo ndio utamu wa kinyang'anyiro. Hata ukizima nyuzi zetu humu bado tutakabiliana kwengineko tuu. Na vile vile JF itapoteza utamu wake. Yaani, hapatakuwa na la kushindania wala geni la kujifunza.
 
Sisi tunaenjoy na yetu na Sio ushindani WA miradi ya maendeleo best. Hatuwezi kushindana na nyie kwa sababu sote hatufanani katika uzalishaji,plans, n.k Kila nchi Ina utaratibu wake.
 
Sisi tunaenjoy na yetu na Sio ushindani WA miradi ya maendeleo best. Hatuwezi kushindana na nyie kwa sababu sote hatufanani katika uzalishaji,plans, n.k Kila nchi Ina utaratibu wake.
Bado nakukumbusha kwa moyo mkunjufu. Jaribu uwezavyo usilitumie hili neno 'sisi' kwa sababu litakubebesha hadi mizigo isiyokuwa yako. Nakushauri au nakusihi ujaribu hili 'mimi' yaani ukimaanisha nafsi yako mwenyewe. Bila kuzingatia huu wasia, basi hauna budi ila kuandamwa kwa makosa au madai ya wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…