Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,282
Mbona hata sisi hutukanwa tuu humu lakini hatubandukiBado nakukumbusha kwa moyo mkunjufu. Jaribu uwezavyo usilitumie hili neno 'sisi' kwa sababu litakubebesha hadi mizigo isiyokuwa yako. Nakushauri au nakusihi ujaribu hili 'mimi' yaani ukimaanisha nafsi yako mwenyewe. Bila kuzingatia huu wasia, basi hauna budi ila kuandamwa kwa makosa au madai ya wenzako.
Usiku Mwema naona hatuwezi kufika hutuke nabishana na mtu mwenye masters in philosophy. Wabishana Sana Hawa watu .