Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Mbona hata sisi hutukanwa tuu humu lakini hatubanduki
Usiku Mwema naona hatuwezi kufika hutuke nabishana na mtu mwenye masters in philosophy. Wabishana Sana Hawa watu .
 
Mbona hata sisi hutukanwa tuu humu lakini hatubanduki
Usiku Mwema naona hatuwezi kufika hutuke nabishana na mtu mwenye masters in philosophy. Wabishana Sana Hawa watu .
Haya kuwa na usiku mwanana. Ila tuu ni ahsante kwa kunichekesha. Mida kama za saa hii huwa sio rahisi mtu akawa ni wa kupata cha kumchekesha.
 
Hii Mombasa Port wenye nchi yao wakijitenga mtakuwa na kitu cha kujivunia?
 
Don't ever speak english in the presence of kenyans...Utajiaibisha bure
Khaa utananifanya nipate kinyaaa. Lugha ya malikia nyie kenya mnaijua. Hebu toa ushamba wa kwenu Turkana. Kawasaidie ndugu zako hawa chini
 
aliyekwambia mombasa twataka kujitenga nani..Wajinga wawili hawatuamlii tunachotaka we nyumbu...siniwakenya damu na utangoja sana kutengana
Hawa jamaa wachana nao. Huwa hawajui mambo ya 'siblings rivaltry' wakiona tukigaragazana wao huona ni vita. Hii malumbano yetu ndio yalituletea: katiba mpya, Ujenzi wa thika Highway, Upgrading of JKIA and coastal ports. Rural electrification,SGR outer ring constraction etc. Kelele za chura wachana nazo. Maji tutayafyonza tuu.
 
Don't you ever get tired of being answered this question ? Ama the transformation shocks you...
Slums in Kenya are changing, deal with that.
Aaaaa nipe mpango mzima. Kibera mpaka lini itakuwa poa? Maana inatia kinyaa dunia nzima. Hivi ni nani alijenga hizo slums. Ni Kenyatta au? Hebu nijibie maswali yangu. Maana mnaleta miradi na picha kibao huku kibera mmeiacha nyuma wakati hiyo ni first priority maana watu wanakufa hovyo hovyo.
 
Wee nenda kaolewe kibra.unaonyeshwa mambo yanavyobadilishwa bado una shuta tu .
 

sasa upewe mpango mzima ndio nini ifanyike? kwani wewe nani? wewe shinda hapo kwa kibera sisis tukisonga mbele. na kibera pia ikikunice sana hama TZ ukaishi huko. wacha kutunyambia hapa. blalikumbaf shenzitype.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…