Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Kiukweli katika nchi za EA Kenya inafanya vitu vinaonekana na mipango iko wazi kila mtu anaona,then Ethiopia lakini kwa Tanzania tusidanganyane hakuna jipya bado ni blaa blaa na tuvijimipango twa kipuuzi twiiingi ambato tunatapanya rasilimali huku tukiwa hatuna impacts yeyote ya maana kiuchumi wala sustanability.Mfano bajeti haina hata jambo la maana kwamba hili ni kuelekea nchi ya viwanda hakuna,yaani kwa TZN kila kitu ni kipaombele,CCM hawa ni kero kwa kweli
Bageti ya chai, mazishi na safari pamoja na vikao vya kutambua nani atumbuliwe

Mkuu wa nchi hataki kuleta roadmap nini anataka kufanya, hataki kutumia watalaam, anataka mambo ya leo ili asifiwe hataki kukaa chini akaleta mkakati

Voda faster zitaisha lini tz?

Kibaki alijenga msingi, na sasa tunaona jinsi ujenzi wwa kenya unavyo enda

Kiongozi hataki upinzani, tz kuwa power house ya afrika siku wengine wakipewa dawa ya usingizi wa miaka 2000
 
Hapa sitalinganisha maana mumelialia sana na kulalamika, wakati mlianzisha wenyewe.

hapa naorodhesha miradi inayoendelea Kenya na hata iliyopangiwa.

Hii hapa barabara ya Outer Ring ambayo tayari ujenzi umeanza tena unakwenda kwa kasi

outer+px.jpg


images


7fd2d15324a00bd50e5e9fe0eb46b19d33b6bdf9d15364d84686c94f6964cca1


1216210.jpg


22688334581_637b5e63a7_b.jpg

Vipi ule mradi wa polisi unaofanyika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi kila Jumatatu bado unaendelea?
 
It's a sad situation but lets hope it changes soon.


Do you think it will change? These fools plant their sons to lead the nation after they die in power so they can continue stealing. Solution is to kill any leader who forces to remain in power more than two terms because if we don't do that, they'll continue playing with our emotions and making lives difficult for us.
 
Do you think it will change? These fools plant their sons to lead the nation after they die in power so they can continue stealing. Solution is to kill any leader who forces to remain in power more than two terms because if we don't do that, they'll continue playing with our emotions and making lives difficult for us.
Or putting term limits.
 
Mie tangu alipoapishwa JPM nikajikatia tamaa maana hakuna nchi duniani iliwahi endelea kwa kuongozwa na mtu mwenye mawazo ya kijima na kijamaa,magu anawaaminisha watu wajinga kuwa matajiri wamewaibia na anawachukia wafanyabiashara/matajiri yaani kauli na matendo yake yameiathiri nchi kiuchumi.Bora muwe na kiongozi fisadi lakini mwenye weledi wa kuendesha uchumi wa soko kuliko kuwa na kiongozi mwadilifu lakini mjamaa,very bud anatumia nguvu kubwa kuliko akili na badala ya ku deal na economic structural discrepancies anahangaika na kuziba viraka tena improperly ndio maana kila hatua amechukua imekua na tija ndogo in short run na kuleta hasara kubwa
 
Mie tangu alipoapishwa JPM nikajikatia tamaa maana hakuna nchi duniani iliwahi endelea kwa kuongozwa na mtu mwenye mawazo ya kijima na kijamaa,magu anawaaminisha watu wajinga kuwa matajiri wamewaibia na anawachukia wafanyabiashara/matajiri yaani kauli na matendo yake yameiathiri nchi kiuchumi.Bora muwe na kiongozi fisadi lakini mwenye weledi wa kuendesha uchumi wa soko kuliko kuwa na kiongozi mwadilifu lakini mjamaa,very bud anatumia nguvu kubwa kuliko akili na badala ya ku deal na economic structural discrepancies anahangaika na kuziba viraka tena improperly ndio maana kila hatua amechukua imekua na tija ndogo in short run na kuleta hasara kubwa
magu has good intention for tz but his methods zinaleta walakini..anarun country kama high school but i think the problem nikua tz prezzo ana power kibao.the guy is good anyway
 
LATEST RENDERINGS RELEASED BY MEINHARDT GROUP.

31_07_mid_Aerialview_w.jpg


30_07_front_night_shopping_view_w.jpg

Juu juu linalift Nairobi skyline!!
 
This evening: The Donholm underpass...OUTERING HIGHWAY KWA KISHINDO NDO HIYO UNDERPASS.

27266884075_e9f4bbdb70_b.jpg


27197027321_7eeac83c68_b.jpg


27169858002_214c6cc2f8_b.jpg


27169847012_a1eb1d1398_b.jpg


26661046443_19ded39c43_b.jpg

__________________
 
This is how the entire chart looks likes (I normally reduce my posts to only 1024x768 images but, if required, I can also avail the entire 8 megapixel images straight from the phone):

Ry2vI74.jpg


A span of the phone camera across the chart (left to right, or, Thika Rd to Embakasi) captures these 3 images...

SGCQW7x.jpg


XUzGBGA.jpg


jVfb2to.jpg


Well, some credits, etc:

R2dKKMC.jpg


Do we have this blueprint posted elsewhere? Otherwise someone with good graphical artistry could do all of us a favour and join 'em up in to a continuous poster...

Meanwhile, I shot the main interchanges as below (and attempt to identify them, please correct where erred). All the photos obey the same protocol, i.e., Thika Rd on the left side and Embakasi onwards of the right side). Pity I don't seem to see the one with the Eastern Bypass
sad.gif
. But, here we go:

Lunga Lunga Rd:

HNoyPFX.jpg


Notice how this one relegates Jogoo Rd to link up with the service roads. Well, or so it appears to me.

Kangundo Rd:

DjjIE7x.jpg


Juja Rd:

9GYjcTW.jpg


Obviously, Thika Rd:

TPUpEH2.jpg
__________________
 
860waBv.jpg
Render mpya ya gorofa jipya la CPF imeshatoka na lajengwa mwakani Upperhill Nairobi ambalo floors zake ni hadi 66.

Ident Brochure
 
Rais Uhuru Kenyatta akionyeshwa baadhi ya sampuli za mtambo wa kisasa wa treni katika mradi mkubwa nchini kenya wa standard gauge railway.



Omp6Gum.jpg


kI9XPE5.jpg

__________________
 
Nairobi
Wu475Il.jpg

previous.gif
The 1st batch of structural steel components of Nairobi South Station arriving on site

YSMMJb9.jpg


4sQmsB8.jpg

previous.gif
part of Nairobi train depot


Mombasa

IOhzuey.jpg


KvuL1vP.jpg


Qfd3rkS.jpg

previous.gif
Mombasa West Station

e7PxH35.jpg

_______MTAMBO WA SGR WAZIDI KUNOGA KWA UJENZI MUFTI KABISA NCHINI KENYA___________
 
R6LTMuZ.jpg


6R72Fjk.jpg

previous.gif
SGR crossing Mombasa Road at Taru



==============================================

kgrCz6H.jpg


WnWkNei.jpg


bNYbyA5.jpg


z6ddR8u.jpg


jfw6ec7.jpg


HYDImp1.jpg





==============================================

y0S0c2t.jpg


pGjeaVs.jpg


30NiSTw.jpg

previous.gif
building various highway bridges across the SGR
 
CKHeMyzWoAA2HXw.jpg


CKHeNqaWEAEViXG.jpg




The project will cover 2,500 square meters on the seven-acre piece of land in Westlands in Nairobi and will include offices, residential units, commercial units and a hotel/CFM
NAIROBI, Kenya, – Global Chinese manufacturing firm AVIC International Holding Corporation is expected to invest over Sh17.8 billion ($200million) in setting up its Africa Headquarters in Nairobi, Kenya.
Speaking during the launching ceremony in Nairobi, Avic International Africa Director Huang Hong You said they had decided to build their Africa headquarters in Nairobi not only due to their close relationship with, Kenya but due to the conducive business environment in the country.

“Our company has set up holding subsidiaries in major cities across China; has established over 110 branches in more than 50 countries and owns eight listed companies. In Africa, we have around 20 branches, and Kenya is planned as our headquarters in Africa,” Huang said.

The project will cover 2,500 square meters on the seven-acre piece of land in Westlands in Nairobi and will include offices, residential units, commercial units and a hotel.

The company says during the five year construction period, the project is expected to create at least 2,000 jobs and over 3,000 jobs once complete.

“We have received a lot of support from the Kenyan government in this project and we are very grateful. We hope to create employment and help in making Kenya an investment hub in the continent,’ Avic International President Wu Guangquan said.

Avic International is the first Chinese firm to set its Africa Headquarters in Kenya, a move that will see more Chinese firm set shop in the country and the region according to Chinese Ambassador to Kenya Liu Xianfa who attended the ceremony.

“I would like our companies to now transform from just contractors of various project here in Kenya and become investors,” Liu said.

Some of the major projects the company is undertaking in the country at the moment include the construction of Terminal 4 at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) and the Greenfield Airport.

Others are the construction of mega real estate project in Runda, Two Rivers by Centum Investment Company Limited and UAP Towers in Upperhill.

“Thank you for choosing Kenya as the continental home. Kenya is the gateway for to East African Community of 140 million people. This project will attract more investors from China,” East African Affairs, Commerce and Tourism Cabinet Secretary Phyllis Kandie said.

“I urge you and other companies coming to Kenya to join ventures with our local companies,” Kandie added assuring government support.
the site for the apartment towers

24268097713_3dde31cd59_b.jpg


The signboard showing the mammoth project renderings that is mounted at the site

24072920991_a7a17c0086_o.jpg


23859922540_3e91dd466b_o.jpg

Another plate dated May 2016 showing the project progress.
site for the 47 storey office tower and 35 storey Marriot Hotel tower
26903349190_f6a56b5694_b.jpg


27109267991_6cb665b3ea_b.jpg


27177602985_6c79dd360b_b.jpg


27109596411_1038f95453_b.jpg

__________________
Site for 4 residential towers

27083015422_c4ca77171e_b.jpg


27109127061_b755c11e76_b.jpg

__________________
 
Back
Top Bottom