milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Hata mpango,kwao ni kigoma,hakuna alichokifanya huko?Punguza ujinga wako,wewe elezea wengine walichofanya Mimi nakupa kilichofanywa na Samia Kigoma Kwa kipindi chake
Tatizo unajisahau, huko kigoma kulikuwa na serikali ya chadema au ya CCM?