milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Hata mpango,kwao ni kigoma,hakuna alichokifanya huko?Punguza ujinga wako,wewe elezea wengine walichofanya Mimi nakupa kilichofanywa na Samia Kigoma Kwa kipindi chake
Kazi inaendelea π πHata mpango,kwao ni kigoma,hakuna alichokifanya huko?
Tatizo unajisahau, huko kigoma kulikuwa na serikali ya chadema au ya CCM?
Awamu ya 5 iliongiza Miaka 6 na Rais wake alishakufa kitambo.ππHii Ni Awamu Ya 5