Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 3, 2025 #1 Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu. Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu. Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,818 Reaction score 8,451 Jun 3, 2025 #2 Acha tu muda wa kura huu.
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,246 Reaction score 6,499 Jun 3, 2025 #3 Tatizo sio wao Wananchi ndo tumeshazoea kutreatiwa hivyo. Wacha watunyooshe tu kama mazumbukuku. Mpaka siku tutakapo jitambua, na hiyo siku haipo karibu.
Tatizo sio wao Wananchi ndo tumeshazoea kutreatiwa hivyo. Wacha watunyooshe tu kama mazumbukuku. Mpaka siku tutakapo jitambua, na hiyo siku haipo karibu.
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,518 Reaction score 20,492 Jun 3, 2025 #4 Fbn said: Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu. Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara. Click to expand... Kuna bumunda liko mahali!
Fbn said: Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu. Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara. Click to expand... Kuna bumunda liko mahali!