Miradi mingi kuelekea uchaguzi 2025 ni kama wanashika huku wanaacha huku husasani barabara zinazojengwa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu.

Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
 
Tatizo sio wao
Wananchi ndo tumeshazoea kutreatiwa hivyo.

Wacha watunyooshe tu kama mazumbukuku. Mpaka siku tutakapo jitambua, na hiyo siku haipo karibu.
 
Ni mimi tu au kuna wengine mnaoweza kutuelezea yani wanabomoa hapa wakisha bomoa wanakwenda kwengine yani kama vurugu.

Ni kwamba haya ni kwa ajili ya kuzindua kampeni zenu CCM kuwa mnajenga barabara.
Kuna bumunda liko mahali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…