USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
MRADI MKUBWA WA MAJI WA KATOKR NYARUBUNGO.
Tanki kubwa linaonekana liko katika hatua za mwisho kukamilika huku wataalamu wa BUWASA wa wakandarasi wakiwa busy kuhakikisha ndoto ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa ya kumtua mama ndoo kichwani iliasisiwa na Mhe Rais Samia suluhu Hasan inatimia kwa wamama wa katike na nyarubungo .
Shauku ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa kufikisha maji katoke na nyarubungo inaakisi hoja yake wakati anachukua form ya kugombea katika uchaguzi uliopita kuwa atavalia njuga tatizo kuwa la maji jimboni biharamulo.
Mradi huu ulikamilika utainua kasi ya maendeleo ya wanakatoke na nyarubungo ikiingatiwa hospitali kubwa ya wilaya ipo eneo hilo ambapo wagonjwa na watendaji watapata maji safi na salama ya uhakika
WAJUMBE TULETEENI ENG EZRA JOHN CHIWELESA 2
025-2030