kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee.
Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani.
Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela zitaishia kuliwa tu kwa magari mafuta safari na wamarekani wenyewe na vigogo wenyeji watakaohusika na miraji itakayoishia kwenye ulaji tu.
Wamarekani sio hawajui nini kitatokea ila wanajua watakua wamehonga kwa namna fulani vigogo wetu.
Mfano rahisi kwa miradi ya kuhonga vigogo siku za nyuma ni kama ile ya kuondoa malaria tangu awamu ya kwanza hela nyingi zilitolewa na vigogo wakiandika taarifa za uongo kuhusu mafanikio.
Kuna ule mradi wa kuua kunguru weusi za msaada hela zilitolewa na taarifa za uongo zikawa zinatolewa eti kunguru wanaisha wakati wanaongezeka. Hivi leo kunguru weusi ni balaa.
Marekani na rafiki zao wa magharibu wamekuwa na miradi danganya toto hela zikiishia kuhonga vigogo wa serikali zetu Afrika.
Miradi na wachina na kiasi wajapani imesaidia kwa kuwa na matokeo chanya Afrika sio wamagharibi wakiongozwa na Marekani.