Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Miradi ifuatayo ambayo imeorodheshwa katika tovuti ya PPP ni miradi ambayo yatafutiwa wawezekazi wa nje.
Sasa kwanini Tanesco imeingizwa humo na kuanza kupigiwa debe sana huku miradi kama hoteli ya hadhi uwanjani JNIA na "shopping centre" hapohapo ikiwa bado yadoda?
Ifuatayo ni miradi hiyo:
Available PPP projects:
The following is a list of some projects available at different stages of the procurement:
· Development of oil Jetty and Tank Farms – Dar es Salaam Port
· Development of a Four-Star Airport Hotel at JNIA
· Development of a Commercial Complex at Julius Nyerere International Airport (JNIA)
· Development of Cargo Terminal with Cold Storage Facilities at Songwe and Njombe Airports
· 60 MWA Zuzu Solar Power Generation
· 50 MWA Same Solar Power Generation
· 100 MWA Manyoni Solar Power Generation
· 358 MW Ruhudji Hydropower Project
222 MW Rumakali Hydropower Project
· Dar es Salaam, Lindi and Mtwara Gas Distribution
· 82 km Tanzania – Malawi Interconnector Project
· Dar es Salaam Commuter Railway Services
· Mtwara – Mbamba Bay Rail
· Railway Rolling Stocks
· Development of the Bagamoyo Port
· Construction of the Igawa – Tunduma Expressway
· Kibaha – Chalinze – Morogoro Expressway
· Inner and Outer ring roads in Dodoma and Dar es Salaam
· Island/Mgao area - Mtwara Dry Port
· Lake Victoria Port and Nansio Port Ukerewe.
Hatukatai uwekezaji lakini kweli tumekosa wawezeaji wa ndani ambao wana fedha na wanohitaji ni mwongozo wa uendeshaji wa makampuni ya kushughulika na miradi hiyo hapo juu?
Isitoshe Tanesco haimo katika orodha hiyo lakini kwanini yenyewe ndo imekuwa hivi karibuni ikigombaniwa ili wawekezaji wachukue miradi ambayo tayari imesimama?
Je, twarudi tena kulekule kwenye Symbian, IPTL, na ile kampuni ya Afrika Kusini ya NetGroup Solution ambayo iliendesha Tanesco kati ya mwaka 2002 hadi 2006?
Itakumbukwa kwamba mwaka jana mwezi Julai Tanesco ilitangaza kuwa imepata faida ya shilingi bilioni 110 (kwa mujibu wa gazeti la Citizen) Tanesco makes record Sh110 billion profit , faida ilotangazwa na alekuwa mkurugenzi mtendaji bwana Maharage Chande, sasa leo mwaka mmoja kweli Tanesco imeshindwa kufanya uwekezaji wa miundombinu yake kwa utaratibu inoeleweka?
Na hata kabla ya mwaka 2023 gazeti la Daily News la mwezi August mwaka 2023 liliripoti taarifa ya fedha ya Tanesco ya 2022/2022 ikisema shirika hilo lilipata faida ya shilingi bilioni 109 TANESCO starts with right foot to transformation - Daily News na Tanesco wakasema kuwa shirika hilo limeanza rasmi kujibadili ili kujiendesha kwa ufanisi.
Pia Tanesco kupitia bwana Chande ikasema ina mpango wa kimkakati wa miaka 10 kuboresha shughuli za shirika hilo, je mpango huo ndo umewekwa kapuni?
Tunaelewa kuwa Tanesco ina tatizo la uendeshaji na kwa miongo sita tangia Uhuru shirika hilo limekuwa na matatizo ya uendeshaji wenye ufanisi, vipi sera ya nishati imeishapitiwa hata kidogo kuangalia ni wapi twahitaji ushauri wa kitaalam wa namna ya kutoa huduma ya umeme kwa watanzania?
Vipo kuhusu bwawa la umeme wa Mwalimu Nyerere nalo litasaidia vipi shughuli za wawekezaji binafsi au ndo Tanesco imegawanywa kuwa sehemu tatu uzalishaji, ugavi na usambazaji bila kupitishwa sheria yoyote bungeni?
PPP ilipoanzishwa mapema mwaka huu chini ya Kafulila, Mwenda, Bi Tatu, na Mafuru hawa ndo watu wa kuwawezesha watanzania kununua umeme wa bei nafuu, au ndo wapo kuhakikisha ukoloni mamboleo unajikita rasmi barani Afrika?