blueprint.
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 220
- 62
hapo sasada sasa wakitoa misaada kasha wakikaa kimya kashfa du aisee bongo kaazi kweli kweli......
bongo tunasumbuliwa na wivu tu hakuna lingine!da sasa wakitoa misaada kasha wakikaa kimya kashfa du aisee bongo kaazi kweli kweli......
Kwani T shirts Huwa zinafaida gani zikivaliwa ..?
Anambebea sembe lake
Miraji kikwete bila shaka kwa niaba ya ccm na labda mkuu wa kaya ametoa Tsht 500 apa leaders kusapot msiba wa ngwea.Bila shaka ccm wamesikia kelele za kumsapot artist aliewasaidia ktk kampeni
Kumbe bwana mdogo ana pesa!
anambebeaga sembe lake ...
duuu kama madomo kaya haya slaaaa apeleke magwanda basi tuone mana mtoto wake bado mchanga
Kwani T shirts Huwa zinafaida gani zikivaliwa ..?
Ingekuwa kagaramia kusafirisha mwili wa marehemu ningemuelewa, ni ujinga ku support T- shirt wakati unahitajika msaada wa kufikisha mwili nyumbani Tanzania...
Waache kutufanya wajinga Ngwair ni mtoto wa mtanzania anahitaji haki zote Kama mtanzania toka kwa serikali na ubalozi wa Tanzania south africa... Leo mtanzania anafia nje na ni maarufu na serikali imekaa kimya as if hakuna kitu kimetokea!!! Serikali ioneshe basi inajari watu wake japo kwa hao ambao taifa zima linawajua... Hata itoe tamko kuwa wanataka kujua vijana wao imekuwaje mpaka wamekufa na kupata matatizo kwa namna ile? Kwa hao maarufu hali ndo hiyo je watoto wamkulima hali itakuwaje kama sio kitupwa kama mbwa na kusahauliwa pale pale...
Miraji kikwete bila shaka kwa niaba ya ccm na labda mkuu wa kaya ametoa Tsht 500 apa leaders kusapot msiba wa ngwea.Bila shaka ccm wamesikia kelele za kumsapot artist aliewasaidia ktk kampeni
ingekuwa vema kama hiyo pesa angepewa mama yake ngwea imsaidie kusukuma siku