Miraji Kikwete atoa Tisheti 500 kwa msiba wa Ngwair

Miraji Kikwete atoa Tisheti 500 kwa msiba wa Ngwair

sawa...........................
ila isiwe kodi za walalahoi hzo. halafu wanatoa kama zao.
 
ahaa huyu si ndio mla kaya mkubwa hadi kapelekwa kwa obama dah jamaa anapenda muziki alikuwa anaishi block 41 na akina pina kipindi fastjet alikua mikocheni ahaaa figaniga mzee wa mia uko wapi tuendleze sebene huko.
 
Ametutolea sisi hzo ni kodi zetu, ana kaz gan ya kugarimia tshet 500? Ni kodi zetu zinazompeleka casino Paris na mtoto wa mzee Kimei wa CRDB aitwaye Junior
 
Badala ya kushukuru mnaua wabongo bana mbn mna roho ya kutu hivyoo
 
Miraji kikwete bila shaka kwa niaba ya ccm na labda mkuu wa kaya ametoa Tsht 500 apa leaders kusapot msiba wa ngwea.Bila shaka ccm wamesikia kelele za kumsapot artist aliewasaidia ktk kampeni

Huyu mtoto ametoa wapi hela zote hizo? Ingekuwa enzi za mwalimu angepigwa kati na angesema. Na kwanini hela ya hizo tshirt asingezitoa msaada kwa mayatima na hata shule za kata zisizokuwa na walimu? Kuliko kufanya jambo lisilokuwa na msaada wowote kwa marehem na hata familia yake?
 
duuu kama madomo kaya haya slaaaa apeleke magwanda basi tuone mana mtoto wake bado mchanga

Nani kakudanganya slaa anaenda kupiga kampeni misibani? Eti wafiwa hoyee!
 
Alishakimbiliaga Mombasa miaka fulani kula bata na ikabidi Mzee atume wadau wamrudisheee
 
Ingekuwa kagaramia kusafirisha mwili wa marehemu ningemuelewa, ni ujinga ku support T- shirt wakati unahitajika msaada wa kufikisha mwili nyumbani Tanzania...
Waache kutufanya wajinga Ngwair ni mtoto wa mtanzania anahitaji haki zote Kama mtanzania toka kwa serikali na ubalozi wa Tanzania south africa... Leo mtanzania anafia nje na ni maarufu na serikali imekaa kimya as if hakuna kitu kimetokea!!! Serikali ioneshe basi inajari watu wake japo kwa hao ambao taifa zima linawajua... Hata itoe tamko kuwa wanataka kujua vijana wao imekuwaje mpaka wamekufa na kupata matatizo kwa namna ile? Kwa hao maarufu hali ndo hiyo je watoto wamkulima hali itakuwaje kama sio kitupwa kama mbwa na kusahauliwa pale pale...

Sugu alisema serikali pumbavu sidhani kama alikosea kwani imeshindwa kupambana na wauzaji wa madawa ya kulevya badala yake rais ndo anatibu teja mmoja wao na cjui alitumia vigezo gani kuchagua kumtibu yeye. Naifananisha issue aliyofanya rais kama mtu amejikwa na kuangalia akodondokea badala ya alikojikwaa. Sugu he mean
 
Kwan T-shirt 500 ni bei gan mpaka mchonge kenga kiasi hcho???! Mbona ni chini ya 2M. Sasa kwa mtoto wa Presda kuna tatizo gan.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
ingekuwa vema kama hiyo pesa angepewa mama yake ngwea imsaidie kusukuma siku



Ndugu usisahau kuwahawa jamaa sera yao kuu ni kugawa Tshirts na Kanga na usijeshangaa kusikia mtu akijinadi siku moja kwa kusema nilishachangia T shirts kwenye msiba wa Albert..
 
TID punguza bwibwi dogo.....cocaine na chips ya wapi na wapi aisee......
 
Back
Top Bottom