Miraji Kikwete atoa Tisheti 500 kwa msiba wa Ngwair

Sishangai kwa yeye miraji kufanya hivyo, kwa Mangwea alikuwa ni mmoja wa wateja wake wazuri wa kununua unga...
 
Ametutolea sisi hzo ni kodi zetu, ana kaz gan ya kugarimia tshet 500? Ni kodi zetu zinazompeleka casino Paris na mtoto wa mzee Kimei wa CRDB aitwaye Junior

ha ha ha ha ha ha da mkuu na wewe huwa unakutana nao huko casino paris nn au umejuaje etii??
 

da wabongo wagumu kuelewa aisee.....matangazo na wahamasishaji wanasema kila mtanzania achangie kwa chochote alichonacho sasa huyu jamaa kama watanzania wengine si kachangia chochote aisee....?!!
 
Halafu anaropoka nchi haitatawalika ujue kisukari kinapunguza akili ya mtu.Bora angedanja huyu Babu mangwea abaki.
duuu kama madomo kaya haya slaaaa apeleke magwanda basi tuone mana mtoto wake bado mchanga
 
Badala ya kumboreshea makazi wazazi wa ngwair, wao wanatoa tshirts ambazo baada ya msiba watu wanazidekia

Kuanzia leo wewe ni Bongoamka na huyo aliyetoa t-shirt na hao wanaoshabikia ndio Ma-Bongolala. Tanzania tumefika mahali sipo. Watu wanasubiri kwa hamu lini msiba wa msanii utatokea nijitangaze. Wanapokuwa hai hawana habari nao, wanasota mpaka wanaikimbia nchi kwenda kutafuta maisha nje ya nchi! Ptu.. hii ni laana?
 
"Babuu na miraji kikwete kihama mnataka nikilete niwavunje miguu mjiunge na kundi la viwete,miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunashindia kiporo cha wali uliobaki dingi kushika ikulu unataka kunishtaki?"-KALAPINA

Duh! Jamaa hakushtakiwa kweli kwa kumtishia maisha mtoto wa braza wa taifa a.k.a Jah Kaya?!?
 
TID punguza bwibwi dogo.....cocaine na chips ya wapi na wapi aisee......

Nami nimeona hiyo picha nikawa na mawazo kama yako- japo wote tunaelekea huko lakini kwa kupima kwa vigezo vya afya mwenzetu huyu nahisi kama asipoacha hicho anachotumia atakuwa ana muda mfupi sana wa kuwa pamoja nasi!!!
 
TID amekwisha kabisa kweli sembe noma
 

.....muuza nyanya hasemi kuwa nyanya hii ni mbovu BALI hukwambia nyanya hii imelainika
 
Hzo t-shirt c kumbu2 jaman mbona binadam hawana jema jana pf.Frank kaikumbusha CCM abt kampen leo mnaxma vibaya tena duh!
 
Inawezekana mzigo aliopeleka sauth ni wa huyo huyo so anajikosha.
 
ukiwa mtumiaji wa uga mzuri ni ticket ya kukuingiza ikulu...
 
Sishangai kwa yeye miraji kufanya hivyo, kwa Mangwea alikuwa ni mmoja wa wateja wake wazuri wa kununua unga...

Ni hii pia taarifa iliyotolewa na wale wafanyakazi wa idara ya usalama wa taifa wanaoripoti kwa boifrendi wa Josephine Mushumbusi.
 
Ni vzr ila isiwe tu mpaka msiba wa msani pia kuna watoto wasio jiweza wanaitaji msaada wa tisheti pia
 
Sishangai kwa yeye miraji kufanya hivyo, kwa Mangwea alikuwa ni mmoja wa wateja wake wazuri wa kununua unga...

Kwani kilo moja anauza bei gani?maana huku kwetu mangi kapandisha bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…