Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bongo tunasumbuliwa na wivu tu hakuna lingine!
Ametutolea sisi hzo ni kodi zetu, ana kaz gan ya kugarimia tshet 500? Ni kodi zetu zinazompeleka casino Paris na mtoto wa mzee Kimei wa CRDB aitwaye Junior
Ingekuwa kagaramia kusafirisha mwili wa marehemu ningemuelewa, ni ujinga ku support T- shirt wakati unahitajika msaada wa kufikisha mwili nyumbani Tanzania...
Waache kutufanya wajinga Ngwair ni mtoto wa mtanzania anahitaji haki zote Kama mtanzania toka kwa serikali na ubalozi wa Tanzania south africa... Leo mtanzania anafia nje na ni maarufu na serikali imekaa kimya as if hakuna kitu kimetokea!!! Serikali ioneshe basi inajari watu wake japo kwa hao ambao taifa zima linawajua... Hata itoe tamko kuwa wanataka kujua vijana wao imekuwaje mpaka wamekufa na kupata matatizo kwa namna ile? Kwa hao maarufu hali ndo hiyo je watoto wamkulima hali itakuwaje kama sio kitupwa kama mbwa na kusahauliwa pale pale...
duuu kama madomo kaya haya slaaaa apeleke magwanda basi tuone mana mtoto wake bado mchanga
Badala ya kumboreshea makazi wazazi wa ngwair, wao wanatoa tshirts ambazo baada ya msiba watu wanazidekia
poa tu! hamna shida, wacha wavae nguo mpya...
"Babuu na miraji kikwete kihama mnataka nikilete niwavunje miguu mjiunge na kundi la viwete,miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunashindia kiporo cha wali uliobaki dingi kushika ikulu unataka kunishtaki?"-KALAPINA
TID punguza bwibwi dogo.....cocaine na chips ya wapi na wapi aisee......
Sugu alisema serikali pumbavu sidhani kama alikosea kwani imeshindwa kupambana na wauzaji wa madawa ya kulevya badala yake rais ndo anatibu teja mmoja wao na cjui alitumia vigezo gani kuchagua kumtibu yeye. Naifananisha issue aliyofanya rais kama mtu amejikwa na kuangalia akodondokea badala ya alikojikwaa. Sugu he mean
Sishangai kwa yeye miraji kufanya hivyo, kwa Mangwea alikuwa ni mmoja wa wateja wake wazuri wa kununua unga...
Zina faida gani?
Sishangai kwa yeye miraji kufanya hivyo, kwa Mangwea alikuwa ni mmoja wa wateja wake wazuri wa kununua unga...
Halafu anaropoka nchi haitatawalika ujue kisukari kinapunguza akili ya mtu.Bora angedanja huyu Babu mangwea abaki.