Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miranda haipo rasmi katika sheria zetu, japokuwa indirectly ipo, kwa maana kwamba Kinachotetewa ua kulindwa katika mirara (mfano ya marekani) hata hapa tanzania kinalindwa na kutetewa, ila kwa sheria na taratibu tofauti.hivi hii kitu haiapply kwenye sheria zetu! mtuhumiwa anahojiwa na polisi publicly... anaropoka! coercive interrogation tactics kwa mtuhumiwa....inatufundisha nini kwa RAIA juu ya haki za mtuhumiwa? wataalam wa sheria naomba msaada wa elimu.
shukran sana mkuu..kwa elimu...ubarikiwe!Miranda haipo rasmi katika sheria zetu, japokuwa indirectly ipo, kwa maana kwamba Kinachotetewa ua kulindwa katika mirara (mfano ya marekani) hata hapa tanzania kinalindwa na kutetewa, ila kwa sheria na taratibu tofauti.
Mtu kuhojiwa publicly ni kinyume kabisa na taratibu za interrogation na hata intelligence ya jeshi. Hii inatokea tu kwa sababu ya ulimbukeni wa baadhi ya watawala wenye mamlaka hayo. aina hii ya mahojiano haina nguvu yeyote kisheria na mazungumzo au matamko ya mtuhumiwa hayawezi kutumiwa kama ushahidi mahakamani.
Mbinu hii si nzuri hata kidogo kwa mtuhumiwa. Mtuhukiwa ananyimwa haki yake ya usiri (confidence) na inamwondolea imani ya kutendewa haki pale anapopelekwa mahakamani. Ingawa mtuhumiwa anayo haki na kinga kisheria kutokuongea chochote (kunyamaza) katika mahojiano ya namna hii, raia wengi hawalifahamu hili kwa hiyo wanajikuta wananaswa na na washitaki wao bila wao kutarajia.
aina hii ya mahojiano ni udhalilishaji na kinyume cha haki za kiraia. Mahojiano ya namba hii ni halali pale tu yanapoendeshwa katika sehemu maalum au mahakamani. Mahojiano haya yanaipa jamii mtazamo hasi dhidi ya mtuhumiwa, hata kama ikitokea mahakama ikamkuta hana hatia. kwa kifupi mahojiano haya ni batili katika misingi ya sheria.
Haha Mkuu uko Deep sana....hivi hii kitu haiapply kwenye sheria zetu! mtuhumiwa anahojiwa na polisi publicly... anaropoka! coercive interrogation tactics kwa mtuhumiwa....inatufundisha nini kwa RAIA juu ya haki za mtuhumiwa? wataalam wa sheria naomba msaada wa elimu.
Mkuu ww kama Attorney sio wa kutakiwa kulalamika ...go there n change the Law...set precedents!Miranda haipo rasmi katika sheria zetu, japokuwa indirectly ipo, kwa maana kwamba Kinachotetewa ua kulindwa katika mirara (mfano ya marekani) hata hapa tanzania kinalindwa na kutetewa, ila kwa sheria na taratibu tofauti.