Boss lakini kifungu cha 10 cha sheria ya mtoto ya mwaka 2009 kipo wazi kabisa, ,mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi tu pale kama alihalalishwa kimila ambapo mtoto (kwa kumlipia mahari mtoto katika jamii zinazofanya hivo, au kwa kumtambulisha katika ukoo wa baba kwa jamii zinazofanya ivo.. au kwa kumuoa mama yake) hizi ni aina mbali mbali za kumrecognize huyo mtoto ili apate kurithi mali.
i stand to be challenged or corrected if any.