SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

Stories of Change - 2022 Competition
Nime kupigia kura !!!

Unajua umeongea jambo la msingi sana, Naomba hapo kwenye kipengere cha ndoa kuvunjika kwa sababu mbili yani
"talaka na kifo" ongezea kipengere cha namba tatu. Weka "ndoa Kuvunjika kwa sababu ya tamaa ya mali".

Mali pia zinaweza kuwa chanzo cha ndoa za watu kuvunjika, kwamba kuowa au kuolewa kisa mwenza wako anamali nyingi ni tatizo kubwa kwa wana ndoa.
 
Du!
 

Nashkuru sana wa Ushauri wako nitalifanyia kazi hilo Haraka iwezekanavyo
 
Umeandika story nzuri, wazo ambalo linasumbua wajane wengi.

Mamndenyi ni mhanga wa hili.

Niliteseka sana kwenye suala la mirathi, Nga tulikuwa tume separate kwa sababu zetu ila mke wa ndoa nilikuwa mimi.

Na ikitokea mume amefariki mjane akawa hana namna ya kupata ushauri wa kisheria ndo basi tena unapoteza kila kitu.
 
Ujinga mtupu, kwahiyo ninyi mmekalili siku zote anaanza kufa mume mke anabaki sindio??

Mbona hamzungumzii mke akifa mume amiliki mali zake???
Hii sijui hata ni kwa nini inatokea hivi mara nyingi
 

Pamoja na hayo Mirathi bana swala mtambuka sana Yani linahitaji Sana umakini
 
Ujinga mtupu, kwahiyo ninyi mmekalili siku zote anaanza kufa mume mke anabaki sindio??

Mbona hamzungumzii mke akifa mume amiliki mali zake???

Hilo tutalitaftia siku yake mkuu tulizungumzie
 

Lakini naona hilo linaweza kuingia katika hoja ya kwanya ya kuachana na Talaka maana hapo ndani ndipo zitapatikana sababu mbalimbali za kuachana na kudai talaka
 
Kaka mafundisho yako ni mazuri mno natamani rafiki angu ambae in mjane a some ujumbe huu hakika atajifunza mengi sana
 
Kaka mafundisho yako ni mazuri mno natamani rafiki angu ambae in mjane a some ujumbe huu hakika atajifunza mengi sana

Yah ni kweli kabisa lakini haya ni mambo ambayo nimeyaandaa mwenyewe ni mawazo yangu tu ila yapo Ambayo yanatambulika kisheria pia Ambayo ndio hutumika nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…