SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

Stories of Change - 2022 Competition
Hivi inawezekana kumwandikisha mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 kama mmiliki wa mali za mzazi/wazazi?

Kama wazazi wake watakua wamefariki ataandikishwa ndio lakini Chini ya usimamizi wa Msimamizi wa Mirathi aliechaguliwa mpaka pale atakapofikisha umri ndio atasimama kama mmiliki kamili
 
Kama wazazi wake watakua wamefariki ataandikishwa ndio lakini Chini ya usimamizi wa Msimamizi wa Mirathi aliechaguliwa mpaka pale atakapofikisha umri ndio atasimama kama mmiliki kamili
Asante sana.Ikiwa tunaishi na sheria hii tufanye nini sasa kwa sababu maisha ya sasa ya ndoa yanachangamoto sana.
 
Umesema kweli Ndugu
 
sasa hapa ni sehemu gani ambayo ni sahihi zaidi kwenda kuwasilisha hayo mabadiliko ulioyaibua labda
 
Imeisha hiyo
 
Kura yangu hiyo kaka
 
Authority Tafadhari
 
Hii Babu kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…