SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

Stories of Change - 2022 Competition
Hii ingekuackwa watubwenye akili ingechukuliwa kama challenge katika maswala mazima ya mirathi na ukandamizaji kwa wanawake
 
Mchango mzuri sana mkuu, na hii itaondoa mtafaruko na ugomvi mwingi ambao tumekua tukiushuhudia hapa nchini, hasa ikitokea mwanamke kaolewa na mtu mwenye pesa nyingi huwa inakua ni shida sana mme huyo anapo fariki.
 
Imekaa poa sana hii kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…