Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Mkuu! Unaongea vitu huvijui
Anaitwa Karen na sio Maria Careen
Ni muhitimu wa Degree pale IFM mwaka 2017/2018
 
Achana na degree unamjua Tunda wa Afande sele

Mtazame tunda ndo utajua huyo mtoto , ni mfano wa mabinti wenye elimu na wenye sense of who you are.

Gardner - RIP
Watu wote hawawezi kua sawa
Embu acheni kunyanyasa watu mitandaoni bila sababu za nsingi
Wewe sihuwa unabehave kama vile mentor/ mshauri nasaha mbona keo unapuywnga sasa mkuu?
 
Sahihi Kabisa
 
Watu wote hawawezi kua sawa
Embu acheni kunyanyasa watu mitandaoni bila sababu za nsingi
Wewe sihuwa unabehave kama vile mentor/ mshauri nasaha mbona keo unapuywnga sasa mkuu?


Yes , watu tumekuwa judgmental Sana .

Ila unajua mkuu , ukimuangalia mtoto wa afande sele yule binti lazima up ate goosebumps .

Ukipata MUDA mtazame tunda wa Afande sele then umuangalie na Huyo Malkia

Ukimlea Mtoto hakikisha anakuwa na tija na sio kumuharibu na kuwa vile alivyo

Afande sele na Tunda yale ndo malezi
 
Jibu bovu hilo! Andika kwa busara. Iwapo hutamjenga mtoto wako kutengeza mali yake mwenyewe na kumwacha ategemee mali yako hujamwachia urithi wowote.
Sasa unafikiri bakhresa akiamua kugawa sehemu yake ya utajiri ama shares zake kwa vituo vya yatima vikawa vinapokea fungu kila mwaka watoto wake watafilisika ilihali nao wana shares zao kwenye makampuni ya baba yao?

Ila what if watoto wake wangekuwa ndio wamemaliza UDOM na wanatafuta ajira za laki 3 kwa wahindi au kuendesha boda boda kama ilivyo kwa watoto wengine wa kitanzania bila msaada wowote ule kisa tu yeye bhakresa alianza na kupika mgahawani au ufundi viatu na amewasomesha unadhani wangekuwa wanaendesha zile G Wagon kwenye mitaa ya masaki sahizi?
 
Mkimaliza kujibizana mtuambie tuwe upande gani.
Waendelee kwenda vyuoni au wasubiri mali zangu.
 
Juzi kati nmeitwa kwenda kupewa kiwanja kikubwa cha urithi wa babu yangu I was so excited kuna kitu nmejifunza lazima niwa achie kitu wanangu
 
Mkimaliza kujibizana mtuambie tuwe upande gani.
Waendelee kwenda vyuoni au wasubiri mali zangu.


Usiache kuwapa watoto elimu kwanza

Ikiwa kipato chako sio kikubwa Sana we focus na kuwandaa watoto wako waje Kuwait productive wawe na tija.

Watu wengi hasa waswahili wamewaachia mali Ila sasa hawana kitu.

Mtu akiwa smart na akawa na tija hatoshindwa kuishi maisha yenye positivity na kuzalisha Mali.

Hivyo usiwanyime watoto Elimu tena wawekee na mkazo mkubwa.

Ukikosa elimu , ukakosa maarifa hata ukipewa mali utaendelea kubaki gizani
 
Asante sana DR HAYA LAND
Nimekuelewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…