AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Uislaam hakunaga kitu kinaitwa kusimamia miiraathi. Uislaam unaamrisha maiti atakapothibitika amekufa...Mtoto wa Nje ya Ndoa anaruhusiwa kurithi na kusimamia mirathi?
Msimamizi wa mirathi anakuja pale ambapo MAITI AMEACHA WATOTO WADOGO YATIMA... Na umri wao bado wa kujitambua... Atateuliwa mtu ambaye ni muadilifu mchamungu na ikipendeza akiwa ndugu wa karibu na maiti ila sio lazima kuwalea hao watoto pamoja na kuichunga mali yao na kuiendeleza kwa kheri... Haifai kula hata kidogo katika mali yao... Mpaka wakue.Mtoto wa Nje ya Ndoa anaruhusiwa kurithi na kusimamia mirathi?
Ukitafuta wewe inatosha...na hatuji kukuomba.Tafuteni hela.
Basi subiri msaada wa tende na nyama ya ngamia.Ukitafuta wewe inatosha...na hatuji kukuomba.
Vipi kama mwanaume wa kiislamu akizaa na binti wa dini nyingine, mfano mkristo na wale watoto wakapewa majina ya kiislamu.Nipo hapa kujibu masuala mbalimbali kuhusu miiraathi ya kiislaam.
Mambo ya kuzingatia kwenye miiraathi.
1. Undugu wa karibu(nasaba)
2. Ndoa
Niulize nitakujibu kwa uwezo na elim atakayonipa Allaah. Inshaa Allaah.
Kama kuna suala jingine la dini... Njoo kistaarabu kwa hoja nzito zenye akili... Sio kejeli. Ukibisha basi kaa na ubishi wako. Usiulize ili ubishe.
Allaah atuongoze.
Abuu Maryam
Tuliwahi kukuomba wewe msaada? Tuliwahi kukuita kupokea wote msaada... Wewe tafuta hela sisi tunasubiri misaada... Full stop...Basi subiri msaada wa tende na nyama ya ngamia.
Kwanza hapo hakuna ndoa, hata kama watapewa majina na watatumia jina la "baba" yao huyo. Watoto hao hawawezi kumrithi "baba yao huyo" na pia "huyo baba" hawezi kurithi mali za hao watoto. Ila kama "huyo baba" anataka hao watoto wapate mali yake, inabidi awape kama zawadi katika sehemu ya mali yake.Vipi kama mwanaume wa kiislamu akizaa na binti wa dini nyingine, mfano mkristo na wale watoto wakapewa majina ya kiislamu.
Je Quran inasemaje juu ya umiliki wa watoto hawa kwa baba yao?, vipi kama baba atafariki, hawatakuwa na haki ya kurithi?
Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app
Babu yangu alifariki 2016 wakati marehemu baba yangu anamiaka 61 baba zangu wote wanne walipewa urithi wao kabla Babu hajafariki. Ilikuwa hivyo na itakuwa hivyo kwa yoyote anaetoka kwenye nyumba ya baba yangu.Urithi inatakiwa wapewe watoto wadogo, watu wazima kila mtu atafute mali zake...haiwezekani jitu zima una miaka40 Kisha upewe mali za bure alizotafuta baba yako, tafuta zako.
Na vipi kama uislam unatambua kuwa wale ni wanake katika imani?Kwanza hapo hakuna ndoa, hata kama watapewa majina na watatumia jina la "baba" yao huyo. Watoto hao hawawezi kumrithi "baba yao huyo" na pia "huyo baba" hawezi kurithi mali za hao watoto. Ila kama "huyo baba" anataka hao watoto wapate mali yake, inabidi awape kama zawadi katika sehemu ya mali yake.
Mnakera kulilia urithi.Tuliwahi kukuomba wewe msaada? Tuliwahi kukuita kupokea wote msaada... Wewe tafuta hela sisi tunasubiri misaada... Full stop...
Fanya mambo yako. Sisi tunafanya yetu.
Katika uislaam kigezo cha kurithi ni UNDUGU(NASABA) na NDOA...Urithi inatakiwa wapewe watoto wadogo, watu wazima kila mtu atafute mali zake...haiwezekani jitu zima una miaka40 Kisha upewe mali za bure alizotafuta baba yako, tafuta zako.
Kigezo cha kurithi katika UISLAAM ni NDOA HALALI.Vipi kama mwanaume wa kiislamu akizaa na binti wa dini nyingine, mfano mkristo na wale watoto wakapewa majina ya kiislamu.
Je Quran inasemaje juu ya umiliki wa watoto hawa kwa baba yao?, vipi kama baba atafariki, hawatakuwa na haki ya kurithi?
Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app
Katika uislaam... Ingekuwa watu wanamcha Allaah haki ya kumcha... Na wakatekeleza sheria ya Mola wao... Basi migogoro ya mirathi na ndoa isingekuwepo.Leo inabidi watu fulan wapate elimu, maana upande wao migogoro ya mirathi kila siku Yan
Kwani tunakurithi wewe... Tunarithiana wenyewe kwa wenyewe... Wewe utarithiwa na na unayemtaka... Hakuna atakayekuja kulilia urithi wako zaidi ya wanao na ndugu zako... Sio sisi. Ishi maisha yako... Jali mambo yako.Mnakera kulilia urithi.