GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa Mumewe huyo anajua kila Kitu isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui.
Tafadhalini elewa hapo neno alilosema anajua kila 'Kitu' kisha utajua / mtajua alichokimaanisha hasa ni nini hapo sawa?
Tafadhalini elewa hapo neno alilosema anajua kila 'Kitu' kisha utajua / mtajua alichokimaanisha hasa ni nini hapo sawa?