Miriam Mauki: Mume wangu anajua kila 'Kitu' isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui

Nilipoanzisha huu Uzi kuna mahala nilikuita au kukuomba uje Uusome?
Uzi ukiwa public maana yake nini? Kama ulikuwa hutaki watu wausome ungebaki nao geto kwako au ungewatumia wapuuzi wenzio pm huko. Ukiweka public hata sisimizi anasoma na kuona upuuzi wako. Ni sawa na kutembea uchi barabarani huwezi kumzuia mtu kukuangalia sawa?
 
Sasa kama hajui kupika huoni kuwa amepungiwa na sifa ya kuwa mume bora? Siku ukiumwa na mko wawili nani atapika au mumewe atakakimbilia hotelini/mgahawani kununua chakula? Ina maana huyo mume wako hakupitia maisha ya geto ya kujipikia misosi au hakuwahi kujipilikisha akiwa mtoto kumsaidia mke wa utotoni kwenye mchezo wa kinyumbanyumba?
pia kakosa sifa ya 'kujua kila kitu' ikiwa hajui kupika.
 
Uzi ukiwa public maana yake nini? Kama ulikuwa hutaki watu wausome ungebaki nao geto kwako au ungewatumia wapuuzi wenzio pm huko. Ukiweka public hata sisimizi anasoma na kuona upuuzi wako. Ni sawa na kutembea uchi barabarani huwezi kumzuia mtu kukuangalia sawa?
Rubbish and Nonsensical.
 
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa Mumewe huyo anajua kila Kitu isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui.

Tafadhalini elewa hapo neno alilosema anajua kila 'Kitu' kisha utajua / mtajua alichokimaanisha hasa ni nini hapo sawa?
Kuchakatwa anajua
 
Tafuta kazi ya kufanya.
Huo muda wa kufuatilia vipindi vya wanawake unaupata wapi. Siku nyingine utumie huo muda kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom