GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilipoanzisha huu Uzi kuna mahala nilikuita au kukuomba uje Uusome?Kawaida tu. Siyo kitu cha kuanzishia uzi!
Nilipoanzisha huu Uzi kuna mahala nilikuita au kukuomba uje Uusome?Yaani unataka sasa tuanze kufuatilia ndoa za wanaume wenzetu, huu ni upuuzi wa karne
Nina JUKUMU KUBWA na MUHIMU nililopewa ambalo litaniweka huku kwa miaka Miwili na nikitoka hapa naenda AU au UN.Usharudi kutoka UG
Nilipouanzisha huu Uzi nilitaka Watu wenye Akili ya haraka na Kunielewa na watakuja na huu Uchambuzi kama wako. Heko.Sasa kama hajui kupika huoni kuwa amepungiwa na sifa ya kuwa mume bora? Siku ukiumwa na mko wawili nani atapika au mumewe atakakimbilia hotelini/mgahawani kununua chakula? Ina maana huyo mume wako hakupitia maisha ya geto ya kujipikia misosi au hakuwahi kujipilikisha akiwa mtoto kumsaidia mke wa utotoni kwenye mchezo wa kinyumbanyumba?
πNilipoanzisha huu Uzi kuna mahala nilikuita au kukuomba uje Uusome?
ππNilipoanzisha huu Uzi kuna mahala nilikuita au kukuomba uje Uusome?
Waswqhili wanakufa wanabaki masela.Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa Mumewe huyo anajua kila Kitu isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui.
Tafadhalini elewa hapo neno alilosema anajua kila 'Kitu' kisha utajua / mtajua alichokimaanisha hasa ni nini hapo sawa?
hapo kwenye upishi kumbe msela ni hewa aisee, kwa mariamu wadau wanajipikia tu na kupakua muda c mrefu tutaona y TINA shushoAkizungumza East Africa Radio asubuhi hii kwa Mahaba niue yake yote kwa Mumewe anayemuita Mwanasaikolojia wake Mke wa Mwanasaikoloja Maarufu nchini Dk, Chris Mauki aitwae Miriam Mauki amesema kuwa Mumewe huyo anajua kila Kitu isipokuwa Kupika tu ndiyo hajui.
Tafadhalini elewa hapo neno alilosema anajua kila 'Kitu' kisha utajua / mtajua alichokimaanisha hasa ni nini hapo sawa?