Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Naangalia sana kipindi chako kila nikipata nafasi hebu tupe sifa zetu wanawake,tunafanya mengi mazuri tu we kila siku mabaya tu kutunanga tu,dyadyaa tafadhali hebu siku moja moja ongelea mazuri yetu kama kulea watoto katika mazingira magumu mpaka wanakuwa watu wakubwa na vyeo juu,wanawake wavumilivu tunavumilia mengi katika jamii zetu ,wanawake tumeinuka tunafanya kazi kutafuta pesa,wanawake wamekuwa na maendeleo wamekuwa
viongozi ,wanachakarika kila mahali hebu tupe sifa sio kutugandamiza tu mwana wee kutwaa kusifia wanaume kutwa wanaume wazuri sisi wabaya hebu jaribu kubalance shobo basi “ooooh wanaume kama watoto wafanyiwe bla bla kwani uliambiwa hayo mambo sisi wanawake hatutakiwi kufanyiwa kila kitu ooh mwanaume hivi mwanaume afanyiwe hivi je sisi wanawake haitakiwi tufanyiwe kama wao unavyowasema ,sioni ukisema tufanyiwe hiki hiki alaaa kama wanaume wachafu wapo pia
Alaaa mama wee tutue babuu wanawake tutabaki mawinguni juuu kileleni