Miriam Migomba tutue wanawake

Miriam Migomba tutue wanawake

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Naangalia sana kipindi chako kila nikipata nafasi hebu tupe sifa zetu wanawake,tunafanya mengi mazuri tu we kila siku mabaya tu kutunanga tu,dyadyaa tafadhali hebu siku moja moja ongelea mazuri yetu kama kulea watoto katika mazingira magumu mpaka wanakuwa watu wakubwa na vyeo juu,wanawake wavumilivu tunavumilia mengi katika jamii zetu ,wanawake tumeinuka tunafanya kazi kutafuta pesa,wanawake wamekuwa na maendeleo wamekuwa

viongozi ,wanachakarika kila mahali hebu tupe sifa sio kutugandamiza tu mwana wee kutwaa kusifia wanaume kutwa wanaume wazuri sisi wabaya hebu jaribu kubalance shobo basi “ooooh wanaume kama watoto wafanyiwe bla bla kwani uliambiwa hayo mambo sisi wanawake hatutakiwi kufanyiwa kila kitu ooh mwanaume hivi mwanaume afanyiwe hivi je sisi wanawake haitakiwi tufanyiwe kama wao unavyowasema ,sioni ukisema tufanyiwe hiki hiki alaaa kama wanaume wachafu wapo pia

Alaaa mama wee tutue babuu wanawake tutabaki mawinguni juuu kileleni
 
Kwanza ulipotelewa wapi?

Hayo mengine siyajui

Nakujua wewe
 
Hivi karibuni sijamuona nina mwaka sasa sifatilii kipindi chake ila najua mashauzi yake.

Okay hasemagi wanaume ni wanawake tu leo alikuwa kamualika dr kumbuka yule kama Shoga hivi
 
Okay hasemagi wanaume ni wanawake tu leo alikuwa kamualika dr kumbuka yule kama Shoga hivi
Mpendwa kitu nilikuwa najiuliza leo umenipa jibu huyu kaka nilikuwa najiuliza sio mchicha mwiba kweli maana akitoa povu mwanamke huwezi mfikia.
 
Back
Top Bottom