Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

Waarabu Ni watu sasa shenz zao ,fia Tanzania ukila ugali na kusoma shule za serekali Kisha subiri kifo chako mdg mdg yanin ukafie uarabuni uache kula ugali hapa tanzabi

Ni vyema yule bint angekuja kuomba Kaz Happ Happ tz

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vijana walio tayari kutake risks watoke nje wakatafute maisha nje ya nchi wasiogope matukio machache ya ukatili kwa sababu hata hapa Tanzania tunateswa na weusi wenzetu, Bongo hapa hapafai kwa sisi vijana wa kimaskini tusio na connection.
 
Kuna kitu kinanichekesha Sana baada ya kupitia comments

Kuna watetez wa waarabu humu wananasibisha na dini ya kiislamu wakat mtendwa bi mariamu hajataja uarabu na dini yeye kawataja waarabu na tabia zao lakn baadh ya watu humu ukiutaja uarabu kwa mabaya kwao n sawa na kuutukana uislamu

Tubadilike dini itabaki kuwa dini rangi ya mtu itabak kuwa rangi ya mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume tuna roho nzuri sana,ila kuna baadhi ya wanawake wanatuona na kutuita mbwa.
Wanaume huwa hatutesi mtoto wa mtu maana hatujui mwanao ni nani na asiye mwanao ni yupi. Unaweza tesa mtoto usiyemjua kumbe ndo mwanao harafu unayemlelea toy car nyumbani akawa ni mtoto wa bodaboda mtaa wa pili. Mwanaume bora tu ukaweka uzani sawa kati ya mtoto uliyenaye ndani na yule wa nje
 
Kwa maelezo yako uarabu ni rangi?
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Dah kule home Kuna sista alienda Saudia . Akafanya kazi kwa miezi kadhaa. Baadae mke was boss akamtuhumu Kwamba anatembea na mumewe. Basi akasukumiwa chini kutoka juu ya ghorofa . Akafanya kifo kibaya . Tulimzika mwaka 2018. Masahibu ya Mariam yanaangazia shida wazipatazo dada zetu mamia kwa mamia waendao nchini humo. Cha ajabu hata ukiwaambia huko so salama. Hawataki kuamini! Inaskitisha.
Pole mamu. Na hongera kwa kurudi Burundi nyumbani.
Waarabu si wema.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Even though utaifa tofauti,,mwanamke unamtesa kiasi hicho mwanamke mwenzio....!!!? [emoji848]
Huyo mrundi naye zoba,unapigwaje ww kila siku tena na mwanamke mwenzio,unashindwa kumrudishia?tena baadae unategea kageuza mgongo unamshindilia na frying pan mpaka azimie,then nakagua vitu vyangu nabeba ,na search na pesa kwenye mkoba wake huyo nabeba na cm yng nagoogle ubalozini,safari inaanza,atakua hajawahi kuangalia movies za kikomando huyo mrundi ,ndo maana alikaa kinyonge
 
[emoji23][emoji23] ungefanya kweli haya?
 
Hata walioshika hii dini Yao unaona wanavyochinja watu eti kupigania dini ya Allah!🙄
Tatizo Ni nyani haoni kundule,,

Kule Rome Papa amesema wazi kuwa anajutia kuwatetea makasisi waliokuwa wanatembeza pumbu kwa watoto wadogo wa kike kwa kuwalawiti....

Sasa Kati ya ulawiti na kupigwa mbupu kwa lazma upi ukatili mkubwa Glenn ..
 
Kuna watu ni makatili sana
 
Antonnia
 
Tatizo Ni nyani haoni kundule,,

Kule Rome Papa amesema wazi kuwa anajutia kuwatetea makasisi waliokuwa wanatembeza pumbu kwa watoto wadogo wa kike kwa kuwalawiti....

Sasa Kati ya ulawiti na kupigwa mbupu kwa lazma upi ukatili mkubwa Glenn ..
Hujui usemalo mkuu yote haramu kwa Mungu.
MFiraji na mfirwaji wote fungu moja
 
Sa
Hata walioshika hii dini Yao unaona wanavyochinja watu eti kupigania dini ya Allah!🙄
Sasa hiyo sio dini ni wao wala dini haingii hapo ..sisi weusi duniani kote hatubaliki hata wenyewe hatujikubali angalia wadada wanavyojichubua .


Sio point yako juuum ya dini hapo imeingiaje ukitoa chuki ....Tukisema kwa dini basi nyie wakristo wote ni mashoga maana wenzenu kule uingereza kweny wakubwa wenu na Italy wanasapot ushoga kwa herufi kubwa.

Try kuwa smart na kuangalia point ipo wapi inawezekana hata aliyempiga sio muislamu kabisa kwa sababu Kuna matendo kama hayo ukifanya kiislamu umejitoa nje ya uislamu automatically..

Kingine tambua Saudi Arabia sio wote waislamu na kule kuna wazungu hata raisi wa hapo ni kibaraka wa wazungu kumbuka mauaji ya mwandishi (Jamal khashong) Tena pale nyumbani kwa mfalme kama ikulu na cctv zote zilikuwepo hao kwa unyama ni jadi yao...Tunajifunza mengi kwa waliotangulia kupita(ummah) kwamba Yale machafu yote ni asili ya jamii zote tunasoma machafu yote duniani ikiwa yametokea kweny jamii izo za watu wa mashariki ya kati ...Pia ndo chanzo cha yesu kupelekwa kwa watu wa isreal kwa hao mambo yao ya ovyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…