Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman.
Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya...
Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
Na Dinna Gahamanyi
BBC Swahili
Safari ya Miriam Ndayishimie ya kuelekea Saudi Arabia ilikuwa imejaa matumaini ya kuepukana na umasikini aliouacha nyumbani.
Ilikuwa ni safari iliyojaa matumaini ya kutafuta riziki na kubadilisha maisha, lakini iligeuka kuwa dhiki na makovu yasiyoweza kufutika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.