Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
20250513_142958.jpg
 
Sio uongo kabisaaa,

Miaka ya nyuma huko sana tukiwa vijana baro baro tulipata mkasa mkubwa mtaani kwetu ,mdada mmoja hapa nimuite "Asha" mana nikiweka wazi hapa kuna watu watamjua alafu yatakua mengine

Yule dada alienda kufanya kazi za ndani huko Saudia au Oman nafikiri akawa anatuma zawadi kwa ndugu zake mara kwa mara , ghafla akaanza kuumwa sana sana na kufikia hatua ya kurudishwa nyumbani bongo,

Asalaleeee yule dada alirudi mtaani kakonda vibaya mnoo hatamaniki mbaya zaidi hawezi kukaa ni kulala tu upande,

Baada ya kuulizwa ulizwa ndipo akaongea ya kutisha sanaaa,

Kumbe huko boss wake yani baba mwenye nyumba na watoto wake walikua wanambaka kwa zamu na mbaya zaidi ilifikia hatua wote kwa pamoja wanataka wamtumbize tupu zao yani mmoja anakua kama harmonize mwingine ndio mbele,

Mwisho wa siku mgongo ndio kuanza kumuuma baada ya kulawitiwa kinyama nyama ,walipoona hajiwezi tena ndio kumrudisha wachukue mali mpya,

Hivyo ndugu zangu waarabu sio wema sana ingawa sio wote
 
Utawaambia nini wabongo kuhusu kwenda uarabuni,? Hawakuelewi ila kiukweli waendao huko huteseka kwelikweli.
Nb. Stori zote hizi Leo hii kuna mbongo anapanda ndege kwenda Saudia kufanya kazi za ndani
 
Sio uongo kabisaaa,

Miaka ya nyuma huko sana tukiwa vijana baro baro tulipata mkasa mkubwa mtaani kwetu ,mdada mmoja hapa nimuite "Asha" mana nikiweka wazi hapa kuna watu watamjua alafu yatakua mengine

Yule dada alienda kufanya kazi za ndani huko Saudia au Oman nafikiri akawa anatuma zawadi kwa ndugu zake mara kwa mara , ghafla akaanza kuumwa sana sana na kufikia hatua ya kurudishwa nyumbani bongo,

Asalaleeee yule dada alirudi mtaani kakonda vibaya mnoo hatamaniki mbaya zaidi hawezi kukaa ni kulala tu upande,

Baada ya kuulizwa ulizwa ndipo akaongea ya kutisha sanaaa,

Kumbe huko boss wake yani baba mwenye nyumba na watoto wake walikua wanambaka kwa zamu na mbaya zaidi ilifikia hatua wote kwa pamoja wanataka wamtumbize tupu zao yani mmoja anakua kama harmonize mwingine ndio mbele,

Mwisho wa siku mgongo ndio kuanza kumuuma baada ya kulawitiwa kinyama nyama ,walipoona hajiwezi tena ndio kumrudisha wachukue mali mpya,

Hivyo ndugu zangu waarabu sio wema sana ingawa sio wote
Mambo wanayofanyiwa wafanyakazi wengi wa ndani uarabuni yanatisha sana.
 
KWA SABABU UJUE KWAM BA KUTESA NI TABIA YA MTU SIO NCHI NZIMA WANATESA WAFANYAKAZZI
HATA TANZANIA KUNA WAFANYAKAZI WANATESWA WANAULIWA WANABAKWA PIA YOTE HUTOKEA HAYO.
Jengine
HALI YA MAISHA TANZANIA NI NGUMU SANA KIASICHA MTU HATA UKIMWBIA KUHUSU MATESO HUKWAMBIA HIVYO HIVYO NATAKA KUFANYA KAZI KWA VULE MWISHO WA MWEZI NITAPATA LAKI NANE AU MILIONI SAWA TUU.
Jengine
Wengi WA WAFANYAKAZI HAWAJUI KUMSOMA MYU VIPI KUKAA NAE NA WENGINE NI WAVIVU WENGINE NI WAHUNK.
Nakupa mfano
Hawa ndugu zangu ni mama na watoto wawili
Mama: kafanya kazi miaka 4 na nusu kilichomrejesha kifo cha mumewe COVID
MTOTO. MKUBWA : ndio wa alikwenda mwanzo Ana miaka Zaidi ya kumi mpaka Leo , Tanzania anakuja likizo tuu.
MTOTO anaefuatia: miezi tuu karudi.
Kilichomrejesha pombe wanaume ujuaji mwingi uvivu mirando hajakuweza.
Ya kuIngatia hayo.
 
Sio uongo kabisaaa,

Miaka ya nyuma huko sana tukiwa vijana baro baro tulipata mkasa mkubwa mtaani kwetu ,mdada mmoja hapa nimuite "Asha" mana nikiweka wazi hapa kuna watu watamjua alafu yatakua mengine

Yule dada alienda kufanya kazi za ndani huko Saudia au Oman nafikiri akawa anatuma zawadi kwa ndugu zake mara kwa mara , ghafla akaanza kuumwa sana sana na kufikia hatua ya kurudishwa nyumbani bongo,

Asalaleeee yule dada alirudi mtaani kakonda vibaya mnoo hatamaniki mbaya zaidi hawezi kukaa ni kulala tu upande,

Baada ya kuulizwa ulizwa ndipo akaongea ya kutisha sanaaa,

Kumbe huko boss wake yani baba mwenye nyumba na watoto wake walikua wanambaka kwa zamu na mbaya zaidi ilifikia hatua wote kwa pamoja wanataka wamtumbize tupu zao yani mmoja anakua kama harmonize mwingine ndio mbele,

Mwisho wa siku mgongo ndio kuanza kumuuma baada ya kulawitiwa kinyama nyama ,walipoona hajiwezi tena ndio kumrudisha wachukue mali mpya,

Hivyo ndugu zangu waarabu sio wema sana ingawa sio wote
Nawaonaga wafia dini humu wakidai eti Ukristo ndio una practice ushoga, naishia kujichekea tu. Tofauti ya Wazungu na Waarabu ni hi, Wazungu sio wanafiki, hata mambo yao ya kipumbavu wanayasema tu, Waarabu na dini yao ni wanafiki sana, kwa nje utadhani ni wacha mungu kweli kweli; ishi nao karibu, utajua hujui. Mfano mdogo ni Zanzibar na Mombasa tu hapo, achilia mbali Dar na Bagamoyo kwenye mchanganyiko wa watu...., Tanga as well; ushoga unafanywa huko asikwambie mtu; lakini utawasikia. Wakristo ni mashoga, utadhani Mungu atahukumu kwa maneno ambayo mtu anatuhumiwa nayo
 
Mwarabu mzuri ni yule aliyekufa tu lakini kiukweli waarabu sio watu kabisa ni jamii moja ya watu wa hovyo ni hakuna mfano, waisrael ndio wanawaweza tu hao majini watu.
 
Sio uongo kabisaaa,

Miaka ya nyuma huko sana tukiwa vijana baro baro tulipata mkasa mkubwa mtaani kwetu ,mdada mmoja hapa nimuite "Asha" mana nikiweka wazi hapa kuna watu watamjua alafu yatakua mengine

Yule dada alienda kufanya kazi za ndani huko Saudia au Oman nafikiri akawa anatuma zawadi kwa ndugu zake mara kwa mara , ghafla akaanza kuumwa sana sana na kufikia hatua ya kurudishwa nyumbani bongo,

Asalaleeee yule dada alirudi mtaani kakonda vibaya mnoo hatamaniki mbaya zaidi hawezi kukaa ni kulala tu upande,

Baada ya kuulizwa ulizwa ndipo akaongea ya kutisha sanaaa,

Kumbe huko boss wake yani baba mwenye nyumba na watoto wake walikua wanambaka kwa zamu na mbaya zaidi ilifikia hatua wote kwa pamoja wanataka wamtumbize tupu zao yani mmoja anakua kama harmonize mwingine ndio mbele,

Mwisho wa siku mgongo ndio kuanza kumuuma baada ya kulawitiwa kinyama nyama ,walipoona hajiwezi tena ndio kumrudisha wachukue mali mpya,

Hivyo ndugu zangu waarabu sio wema sana ingawa sio wote
Kuna mwingine alikuwa anaingiliwa na ma-jibwa mawili kila siku. Alikuwa anapewa dawa za kuongeza hamu ya tendo la ndoa na kuchanganykiwa, halafu wanamfungia chumbani na mbwa. Waarabu wengi huwa wanasema mtu mweusi ni mtumwa na hastahili kufanyiwa mambo ya utu.
 
Haya makabila 2 warangi,na wasandawe ndo wapo wengi huko
Alfu na ukiangalia ni ndunguzao kwa imani lakini wanavowafanyia
 
Attachments

  • 96144BC1-6860-41B4-AA03-78FDFF4A7C2D.jpeg
    96144BC1-6860-41B4-AA03-78FDFF4A7C2D.jpeg
    105 KB · Views: 43
Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
View attachment 3332610
Sio kubakwa hayo ni mafundisho ya uislam kufanywa ni ibada wameruhusiwa waislam kuzini na wajakazi wao hata kama wapo elfu. ni jambo la kawaida Mtume Mohammad aliwala sana wajakazi, Kwani kwenu Tanzania hamna culture hiyo ? hamna waislam?
 
Back
Top Bottom