Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

Mwarabu sio mtu labda aliyekufa tu. Kazi labda umfanyie mzungu atathamini utu wako. Mwarabu anajua mtu mweusi ni mtumwa wake tu siku zote.

Kama hawa ndio watu wenye kuleta wanachoita dini basi ni wajinga tu ndio watafuata hiyo "dini."
 
Waswahili wengi huwa wakisoma msaafu na kuona kiarabu ndio kimeandika msaafu basi wanapitisha kuwa waarabu ni watu kutoka mbinguni na ni watu safi kimwili na roho.

Kule uarabuni kuna mfumo unaitwa Kefala, ambapo "Kafeel" (sponsor) aliyepo uarabuni anaomba kutumiwa mfanyakazi yeye analipia kils kitu kuanzia passport,visa na usafiri wa ndege.

Ukifika kule anachukua hizo nyaraka zako na kukaa nazo na ndipo unaanza kufanya kazi anazotaka yeye. Anakuwa anakutumikisha anavyotaka na ukikaidi anakupa kichapo kama mtumwa wake. Ukienda kushitaki katika mamlaka kama polisi akiwaambia tu kama wewe ni sponsor wake wanakurejesha kwake hata kama uliwaambia ametishia kukuua au alikuwa anakutesa kinyume na haki za binadamu.

Ni mfumo rasmi na upo kisheria kabisa na unatambulika ndio maana hakuna sehemu utakwenda kushitaki ukasikilizwa. Na akiona unamletea ligi anaweza kukubambikia kesi kuwa ulitaka kudhuru familia yake au ulitaka kufanya kitu kibaya akakuua. Unapotea vizuri tu na hakuna mtu atakae toa ushirikiano kwa kupotea kwako.

Kwa miaka ya hivi karibuni baada ya Human rights watch kufuatilia baadhi ya sheria zikarekebishwa ili watu waende kwa mikataba mizuri ya kiutu na isiyo ya kulazimisha mtu abakie kwenye kazi kinyume na hiyari yake. Ila hayo maboresho yamekuwa kwa kiasi kidogo na kampuni chache nazo ni zile zinazomilikiwa na waarabu wasomi wenye exposure ya mataifa mengi na wameshaishi mataifa mengine kama ulaya, America na China.

Ila bado mikataba ya Kafeel kandamizi ile ya zamani imeendelea kuwapo na ndio maana bado kunakuwa na ripoti za watu kupotelea uarabuni au kurudi wakiwa na story za mateso na uonevu wa muda mrefu.

Wavaa kobazi wengi ukiwaambia haya wanahisi unatukana dini na imani yao ila wasichokifahamu muarabu sio muislam ingawa Uislamu ni dini ya waarabu.

Muarabu ni race kama mzungu. Tunachozungumzia hapa ni ule ubaguzi na unyanyasaji ambao upo kimfumo.

Ukiingia mtandaoni hapo utakutana na story za huko uarabuni zenye uhusiano na hii swala la "Kafeel" contracts. Wahanga wengi wanatokea inchi za India, Sri Lanka, Pakistan, Africa na kwingineko.

Kuna ambao ndugu zao wanajua kuwa wameuwawa na kuna ambao hawajui kilichowakuta.

Kama unaona ni uongo, basi ni vema kwenda kujionea kwa kusoma na kutazama documentaries mbali mbali. Na ukiona bado nafsi yako inakataa then ni vema uende mataifa hayo ya uarabuni then tafuta agent wa "Kafeel" akupe mchongo then utakuja kutuhadithia.😂😂 Maana ubishi ukizidi unadhani watu watakusaidiaje sasa.
 
Unaweza kutazama filamu inaitwa GOAT LIFE itakupa picha ya nini hutokea.



images (1).webp

Kwenye hii filamu, jamaa kutoka india akiwa na jirani yake wanakula dili la kwenda Uarabuni kupiga kazi kwenye kampuni za kishua.

images (19).jpeg

Kosa walilofanya ni kutokuwa na mawasiliano ya uhakika na agent wao anaewapokea huko upande wa pili.

Wakafika na kujikuta wapo airport mwenyeji wao hawamuoni. Akaja mzee wa kiarabu wakahisi pengine ndie mwenyeji wao kumbe sio.

Wakampa passport zao akawachukua mwenye gari huyo hadi vijijini huko jangwani. Wakajikuta wameingizwa katika msala ambao hauwahusu na wakatenganishwa.

Walikuja kukutana miaka mitatu baadae kwa bahati mbaya huko jangwani jamaa akiwa anachunga mbuzi wa Kafeel wake.

Wakakutana na Black m'moja ambae ni mzoefu kidogo na analijua jangwa. Wakapanga kutoroka siku chache zijazo ambapo kutakuwa na harusi ya so hawa mabosi zao watakwenda huko na wanaweza kulala huko huko na kurejea kesho yake.

Siku ikafika mabosi wakaondoka na kwenda harusini mapema,jamaa akajiandaa, yule jirani yake aliyekuja nae na black wakaongozana safari ya kutoroka ikaanza kuvuka jangwani kwenda mjini.

Ilikuwa ni safari ya mateso sana. Njaa,kiu nyoka wa jangwani, dhoruba ya upepo mkali wa jangwani wenye mchanga mzito ambao unaweza kukuangusha na kukufunika ukiwa mzembe.

Aisee jamaa walipambana sana kutembea kutwa nzima na kulala jangwani wakitumia jua kama compass. Huyo black aliwasaidia sana kusogea ila kwa bahati mbaya ndugu yake njaa na kiu vilimzidi nguvu akafariki. Wakaendelea wawili tu.

Jamaa amechakaa kama msukule sio tena handsome boy yule aliyetoka India akiwa na matumaini ya kufanya kazi kwenye kampuni kubwa ya kiarabu, kulipwa vizuri,kukaa kota nzuri na kula chakula kizuri.

Kuna sehemu alipofika alikuwa amechoka sana black akaona isiwe shida akamuacha na chupa ya coca-cola yenye maji waliyochota kwenye chemchem waliyobahatisha huko jangwani wakiwa wanasota na jangwa.

Alimuacha jamaa alilala akaamka akanywa maji akapata nguvu akaendelea kujivuta asijue black kapotelea wapi, kumbe alikuwa ameshakaribia barabarani kutoka jangwani.

Akapata msaada wa msamaria mwema baada ya kupitwa na kukwepwa na gari nyingi wakidhania ni kichaa. Msamaria mwema alionekana kuwa na uwezo kifedha maana alimpakia katika gari yake ya kifahari na akasogea nae hadi mjini kisha kumshusha na kumuacha hapo.

Bahati nzuri sehemu alishushwa ni sehemu kuna shelter house ya watu kama yeye wanaohitaji msaada.

Akasaidiwa kupata passport na utambulisho. Akaenda katika ubao wa matangazo akaona picha ya yule black aliyekuwa nae kuwa ni missing person anatafutwa na Kafeel wake.

Akafanikiwa kwenda migration ambapo kabla ya kuondoka Kafeels huwa wanatonywa na polisi kuwa kuna wajakazi wanaondoka wakawakague kama ni watu wao wanatoroka wakawachukue tena warudi nao nyumbani kuendelea kuwatesa.

Jamaa kufika hapo airport migration akawa anasali tu na kuomba MUNGU kuwa kusiharibike kitu asije rudishwa tena kule kijijini jangwani maana hatopona na atafia huko kwa yale mateso ya miaka 3 aliyopitia.

Huku na huko mzee aliyewachukua airport akatokea, jamaa akatamani kujificha ila haikuwezekana. Mzee akamtambua. Akamsogelea akamwambia "unabahati sina nyaraka zako na sio mimi ambaye nilikuagiza kutoka india, hapa ulikuwa unarudi na mimi na ningekukomesha".

Ikawa ndio pona ya jamaa akafanikiwa kupanda ndege akirejea kwao India bila mwenzake ambaye walikuja wote.

Kuna ujumbe unaandikwa hapo mwishoni "Akihadithia mwingine unaweza hisi ni story za kutunga usiombe yakukute". Ni movie tu ila dah aisee ukiwa na roho nyepesi lazima chozi likutoke namna jamaa alivyokuwa anatia huruma akiwa anamkumbuka mama yake, mkewe ambaye alimuacha mjamzito na akikumbuka maneno ya mama wa rafiki yake akimsisitiza kuwa huyo ni kama mdogo wake so huko wanapokwenda amsaidie kumtazama na kumlinda asipatwe na shida akakosa mtetezi.

Imagine anarudi mwenyewe mama ya yule kijana atamwambia maneno gani na miaka 3 imepita na toka waondoke hawakupiga simu kusema walichokutana nacho huko.

Dah ile movie ni bonge la movie jamaa alijua kuigiza victim mule.
 
Hata huku mbeya mbna mabinti wa kutoka Namanyele wanabakwa sana na WANYAKYUSA ( hasa watoto wa boss)
 
Hata huku mbeya mbna mabinti wa kutoka Namanyele wanabakwa sana na WANYAKYUSA ( hasa watoto wa boss)
Kuna kubaka na kufanya mapenzi. Isije ikawa watu wanapeana utamu wewe unasema wanabakwa. Tanzania ya leo sio ya kumbaka mwanamke kirahisi na usiwe na msala kama hajapenda.
 
Uelevu ni kufanya maamuzi yenye madhara kwa niaba ya wasio na uelewa.

Magufuli alipiga marufuku (taahira kama wewe) unaelalama leo uwezi kumbuka.

Watu ambao wanaopeleka watu huko uarabuni ni sampuli ya mponjoro wa Kinondoni, Samia, Faiza Foxy.

Wakati, Magufuli anapigana hivi vita mlikuwa mna mtukana.

Yaani Tanzania aina mijitu mijinga kama huyu Yoda na wafuasi wengine wa Lissu na CDM.

Ni genge la watu wajinga mno, ambao hawaelewi hata wanasimamia nini.

The nonsense, Magufuli akupigana na akina Tarimba kuacha kupeleka watoto wa maskini huko uarabuni.

You are just stupid
 
Kuna kubaka na kufanya mapenzi. Isije ikawa watu wanapeana utamu wewe unasema wanabakwa. Tanzania ya leo sio ya kumbaka mwanamke kirahisi na usiwe na msala kama hajapenda.
Acha kutetea kisa kufanya mnyakysusa wanabakwa sio kama wanapenda na hata uko uarabuni Kuna wanabakwa na wanaopenda wenyew
 
Kuliko kudanga na kusimangwa bongo si bora aendee akajitafutie zake milioni mmoja kwa mwezi, hakuna kazi isiyo na risk unawaambiaje wachimbaji wadogo wadogo kwenye migodi? Uoga wako ndio umaskini wako wenzio ndani ya miaka miwili wanajenga vibanda vya kuwastiri au wanapata mtaji wa kuanzisha biashara,
Msiwabeze watafutaji badala yake ni kupaza sauti sera za kuwalinda huko waendako ziwe imara.
 
Sio uongo kabisaaa,

Miaka ya nyuma huko sana tukiwa vijana baro baro tulipata mkasa mkubwa mtaani kwetu ,mdada mmoja hapa nimuite "Asha" mana nikiweka wazi hapa kuna watu watamjua alafu yatakua mengine

Yule dada alienda kufanya kazi za ndani huko Saudia au Oman nafikiri akawa anatuma zawadi kwa ndugu zake mara kwa mara , ghafla akaanza kuumwa sana sana na kufikia hatua ya kurudishwa nyumbani bongo,

Asalaleeee yule dada alirudi mtaani kakonda vibaya mnoo hatamaniki mbaya zaidi hawezi kukaa ni kulala tu upande,

Baada ya kuulizwa ulizwa ndipo akaongea ya kutisha sanaaa,

Kumbe huko boss wake yani baba mwenye nyumba na watoto wake walikua wanambaka kwa zamu na mbaya zaidi ilifikia hatua wote kwa pamoja wanataka wamtumbize tupu zao yani mmoja anakua kama harmonize mwingine ndio mbele,

Mwisho wa siku mgongo ndio kuanza kumuuma baada ya kulawitiwa kinyama nyama ,walipoona hajiwezi tena ndio kumrudisha wachukue mali mpya,

Hivyo ndugu zangu waarabu sio wema sana ingawa sio wote
Hatari sana
 
Acha kutetea kisa kufanya mnyakysusa wanabakwa sio kama wanapenda na hata uko uarabuni Kuna wanabakwa na wanaopenda wenyew
Wewe hadi unapata hizo taarifa ulitoa msaada upi? Maana kama unajua mtu amebakwa kwanini usimshauri kuripoti tukio?

Na unajua kuwa matukio ya ubakaji kesi ikifika polisi aliyebaka lazima apatwe na tumbo la kuhara wiki nzima.
 
Ngoja yaje yale masengerema ya alahu akubaru humu yatakataa huko kwa waarabu hakuna tatzo kbs na sugu zao usoni eti tochi ya kaburini maamaaee walahi.
 
Have you ever been desperate ? Je wote wanaokwenda wanateswa au ni percent ngapi ? Ukishapata jibu la hapo utaona pia kuna suala la betting ndio maana hata ingawa inajulikana 100 percent kwamba mwisho wa siku the House always wins lakini watu kila siku wanajaribu eti kumpiga muhindi...

Life is a Struggle and given alternatives at any given time sometimes a MAYBE (somewhere else) is better than a NO (where you are) especially kama kuna uwezekano wa kuchumia juani na kulia kivulini
 
Mwarabu mzuri ni yule aliyekufa tu lakini kiukweli waarabu sio watu kabisa ni jamii moja ya watu wa hovyo ni hakuna mfano, waisrael ndio wanawaweza tu hao majini watu.
That is zionist language
 
Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
View attachment 3332610
Tumakoma vipi ikiwa uku kila kitu ni free na bado mwisho wa mwezi tunalipwa mishahara minono
 
Back
Top Bottom