DOKEZO Mabinti wanafanya kazi uarabuni wanateseka hawana msaada Ubalozi wako kimya!!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman.

Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya ambao wao Ubalozi wao umewasaidia na kuwarudisha nyumbani hivyo na wao wakiona ni bora wa waseme Watanzania ambao wamekwama huko.

Kuna sehemu Mimi nilishasema waarabu si watu hao ni Sakwa na wanyama kabisa hawana utu. Nashangaa sana nchi yetu hata haichukui hatua yoyote kunusuru shida wanayopata Mabinti zetu huko Ughaibuni

Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman.

Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya ambao wao Ubalozi wao umewasaidia na kuwarudisha nyumbani hivyo na wao wakiona ni bora wa waseme Watanzania ambao wamekwama huko.

Kuna sehemu Mimi nilishasema waarabu si watu hao ni Sakwa na wanyama kabisa hawana utu. Nashangaa sana nchi yetu hata haichukui hatua yoyote kunusuru shida wanayopata Mabinti zetu huko Ughaibuni.
Ila waafrika tuna matatizo makubwa. Kwa nini wanakwenda? Hivi ushuhuda wote wa watu wanaolalamika kuwa wanateswa na kuuawa huko hakujawashtua waache kwenda? Ni u-nyumbu huu.
 
Oman ndio waliopewa uwanja wa ndege wa KIA. Hao ndio wajomba wa Samia. Kenya haijawahi kuwa na Rais mvaa makobazi jiongeze ?
 
Wale mnaosema wasiende Arabuni mnataka waende kwa Mwamposa kuchota udongo uliobarikiwa?
 
Tuanzie hapa kwanza walifikaje huko.... Kwanini baada ya kukamatwa ndo malalamiko yaibuke suppose wasingekamatwa ubalozi ungekua na taarifa nao??

Nani anawawezesha kufika huko na kwa ahadi gani??
 
Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman.

Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya ambao wao Ubalozi wao umewasaidia na kuwarudisha nyumbani hivyo na wao wakiona ni bora wa waseme Watanzania ambao wamekwama huko.

Kuna sehemu Mimi nilishasema waarabu si watu hao ni Sakwa na wanyama kabisa hawana utu. Nashangaa sana nchi yetu hata haichukui hatua yoyote kunusuru shida wanayopata Mabinti zetu huko Ughaibuni.
Ndiyo wawekezaji wenu hao
 
SINA HAKIKA KAMA UNAELEWA KIZUNGU....
HAO WATU WAMESHIKILIWA/WAPO CHINI YA ULINZI KWA SABABU YA KUTOKUWA NA NYARAKA STAHIKI ZA KUISHI NA KUFANYA KAZI HUKO AU PENGINE KWA SABABU NYINGINE ZISIZOKUBALIKA KWENYE NCHI HUSIKA HIVYO WANASUBIRIA KURUDISHWA MAKWAO (Deportation) . Naamini hata huku Afrika ukishikiliwa kituo cha polisi usitegemee mamsosi ya kueleweka
Natoa ushauri wa BURE kwa wanaopata fursa za kwenda kufanya kazi ughaibuni; ni vizuri wajiulize au waulize maswali yafuatayo kabla ya kwenda;
1. Kibali cha kufanya kazi ugenini (work permit) nani anaomba na kukilipia? kama hakipo usiende na ukienda ujue utaishiakufungiwa ndani ya geti kama mfungwa kuepuka kukamatwa
2. Kiasi cha mshahara; ulizia take home/Net (achana na Gross hiyo inadanganya)
3. Bima ya matibabu (Ugenini matibabu ni ghali sana hivyo lazima uwe na bima).
4. Taratibu za makazi (utakaa wapi) kwa gharama za nani
5. Taratibu za likizo (Likizo inakuwa baada ya muda gani na ya siku ngapi) kwa kawaida unastahili kupewa mwezi mmoja kwa mwaka.
6. Muda wa kufanya kazi ( utafanya kazzi masaa mangapi kwa wiki). Usijekufanyishwa kazi kama punda
7. Ikiwezekana uliza na Mkataba wa ajira na uache copy huku nyumbani

Wote wanaolialia huko ughaibuni jua tu, wametoka makwao bila kuuliza hayo maswali..
NISISITIZE; Usitoke kwenu kama huna muongozo wa hayo maswali; UTANISHUKURU BAADAE!!!
 
Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman.

Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya ambao wao Ubalozi wao umewasaidia na kuwarudisha nyumbani hivyo na wao wakiona ni bora wa waseme Watanzania ambao wamekwama huko.

Kuna sehemu Mimi nilishasema waarabu si watu hao ni Sakwa na wanyama kabisa hawana utu. Nashangaa sana nchi yetu hata haichukui hatua yoyote kunusuru shida wanayopata Mabinti zetu huko Ughaibuni.
Bora uishi hata na wanyama polini lakini sio mwarabu, Mwarabu ana roho mbaya sana
 
Ila waafrika tuna matatizo makubwa. Kwa nini wanakwenda? Hivi ushuhuda wote wa watu wanaolalamika kuwa wanateswa na kuuawa huko hakujawashtua waache kwenda? Ni u-nyumbu huu.
Sasa Mtanzania wa kawaida masikini anapata wapi ufahamu wa kujua kwamba siyo ajira yeyote nje ya nchi ni ajira ya maana. Watanzania wanatoka Tz vijijini wnanaenda miji mikubwa hapahapa nchini wanaishia kutapeliwa kwa ahadi ya maisha bora. Huoni kwamba kwa raia wa namna hiyo kurubuniwa kwa ahadi ya ajira bora nje ya nchi ni rahisi zaidi?
 
Kuna dada kanisikitisha saana asee hayo mateso sijui ni yapi kakonda hatari Yani mpaka unasema ange kia dada yangu palikua panaenda kichimbika hukohuko no macheko
 
Back
Top Bottom