DOKEZO Mabinti wanafanya kazi uarabuni wanateseka hawana msaada Ubalozi wako kimya!!

DOKEZO Mabinti wanafanya kazi uarabuni wanateseka hawana msaada Ubalozi wako kimya!!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa Mtanzania wa kawaida masikini anapata wapi ufahamu wa kujua kwamba siyo ajira yeyote nje ya nchi ni ajira ya maana. Watanzania wanatoka Tz vijijini wnanaenda miji mikubwa hapahapa nchini wanaishia kutapeliwa kwa ahadi ya maisha bora. Huoni kwamba kwa raia wa namna hiyo kurubuniwa kwa ahadi ya ajira bora nje ya nchi ni rahisi zaidi?
Mimi pengine nalijua hili suala la kwenda uarabuni kuliko wewe kwa sababu ni kitu ambacho nimekifuatilia sana. Wengi ya wasichana wanaokwenda uarabuni wako well informed ya maisha ya huko. Infact wanaotoka vijijini na kwenda huko ni wachache sana. Wengi ni wale wa mjini na wengi wakishakumbwa na masaibu utasikia wanajuta kuwa ''waliambiwa'' lakini wakadharau.
 
Kuna dada kanisikitisha saana asee hayo mateso sijui ni yapi kakonda hatari Yani mpaka unasema ange kia dada yangu palikua panaenda kichimbika hukohuko no macheko

Utaenda polisi kufanya fujo si utaishia huko
Wale wameshikiliwa na polisi kwa kukosa nyaraka za kufanya kazi ugenini au makosa mengine
Wanasubiri taratibu za kuwarudisha makwao (deportation) japo inaonekana ubalozi wetu hauwapi ushirikiano
 
SINA HAKIKA KAMA UNAELEWA ENGLISH!
HAO WATU WAMESHIKILIWA/WAPO CHINI YA ULINZI KWA SABABU YA KUTOKUWA NA NYARAKA STAHIKI ZA KUISHI NA KUFANYA KAZI HUKO. Naamini hata huku afrika ukishikiliwa kituo cha polisi usitegemee mamsosi ya kueleweka
Deportation ni watu walioshikiliwa kwakukosa Nyaraka za kuishi/ kufanya kazi katika nchi husika hivyo wanasubiria kurudishwa walikotoka).

Natoa ushauri wa bure kwa wanaopata fursa za kwenda kufanya kazi ughaibuni; ni vizuri wajiulize au waulize maswali yafuatayo kabla ya kwenda;
1. Kibali cha kufanya kazi ugenini (work permit) nani anaomba na kukilipia? kama hakipo usiende na ukienda ujue hutakuja kuruhusiwa kutoka nje ya gate/utaishi kama mfungwa)
2. Kiasi cha mshahara; ulizia take home/Net (achana na Gross hiyo inadanganya)
3. Bima ya matibabu (Ugenini matibabu ni ghali sana hivyo lazima uwe na bima).
4. Taratibu za makazi (utakaa wapi) kwa gharama za nani
5. Taratibu za likizo (Likizo inakuwa baada ya muda gani na ya siku ngapi) kwa kawaida unastahili kupewa mwezi mmoja kwa mwaka.
6. Muda wa kufanya kazi ( utafanya kazzi masaa mangapi kwa wiki). Usijekufanyishwa kazi kama punda
7. Ikiwezekana uliza na Mkataba wa ajira na uache copy huku nyumbani

Usitoke kwenu kama huna muongozo wa hayo maswali; Utanishukuru baadae...
Umeandika maelezo mengi lakini uneongopa kwenye maan ya deportation
Deportation ni inaweza kufanywa hata kama una kila kitu. Unaweza kuwa na vibali vyote bado ukafanyiwa deportation endapo kuna makosa umefanya au pia sababu za kiusalama zikafanya uwe deported
 
Utaenda polisi kufanya fujo si utaishia huko
Wale wameshikiliwa na polisi kwa kukosa nyaraka za kufanya kazi ugenini...
Wanasubiri taratibu za kuwarudisha makwao (deportation)
Wewe ni mwarabu? Mbona unatetea usenge , hawana nyaraka za kufanya kazi HUKO una timamu mkuu? watu wapo makazini wanafungiwa na kiteswa we unasingizia mamlaka, magereza ya KULE wanajali huwezi konda muanhalie jack demu wa. Jux miaka hiyo muanhalie Binti kiziwi alivo Toka gerezani kanenepa we unaleta stori za ki kuda
 
SINA HAKIKA KAMA UNAELEWA ENGLISH!
HAO WATU WAMESHIKILIWA/WAPO CHINI YA ULINZI KWA SABABU YA KUTOKUWA NA NYARAKA STAHIKI ZA KUISHI NA KUFANYA KAZI HUKO. Naamini hata huku afrika ukishikiliwa kituo cha polisi usitegemee mamsosi ya kueleweka
Deportation ni watu walioshikiliwa kwakukosa Nyaraka za kuishi/ kufanya kazi katika nchi husika au pengine kwa sababu nyingine hivyo wanasubiria kurudishwa walikotoka).

Natoa ushauri wa bure kwa wanaopata fursa za kwenda kufanya kazi ughaibuni; ni vizuri wajiulize au waulize maswali yafuatayo kabla ya kwenda;
1. Kibali cha kufanya kazi ugenini (work permit) nani anaomba na kukilipia? kama hakipo usiende na ukienda ujue hutakuja kuruhusiwa kutoka nje ya gate/utaishi kama mfungwa)
2. Kiasi cha mshahara; ulizia take home/Net (achana na Gross hiyo inadanganya)
3. Bima ya matibabu (Ugenini matibabu ni ghali sana hivyo lazima uwe na bima).
4. Taratibu za makazi (utakaa wapi) kwa gharama za nani
5. Taratibu za likizo (Likizo inakuwa baada ya muda gani na ya siku ngapi) kwa kawaida unastahili kupewa mwezi mmoja kwa mwaka.
6. Muda wa kufanya kazi ( utafanya kazzi masaa mangapi kwa wiki). Usijekufanyishwa kazi kama punda
7. Ikiwezekana uliza na Mkataba wa ajira na uache copy huku nyumbani

Usitoke kwenu kama huna muongozo wa hayo maswali; Utanishukuru baadae...
Hata wakiwa ma nyaraka, kuna jamii hazina utu na ubinadamu. Wachina , wahindi na waarabu hawana utu na ubinadamu kwa mtu mweusi. Ndio maana hawa watu hawajawahi kujenga chuo,shule wala hospitali Tanzania.
 
Wewe ni mwarabu? Mbona unatetea usenge , hawana nyaraka za kufanya kazi HUKO una timamu mkuu? watu wapo makazini wanafungiwa na kiteswa we unasingizia mamlaka, magereza ya KULE wanajali huwezi konda muanhalie jack demu wa. Jux miaka hiyo muanhalie Binti kiziwi alivo Toka gerezani kanenepa we unaleta stori za ki kuda
Kila mvaa makobazi anajiona mwarabu hata ukiangalia kulipojaa wavaa makobazi matajiri ni wahindi na waarabu.
 
Kenge kusikia ni hadi atoke damu puani na masikioni. Kila siku huku uraini tunawakataza kuwa waachane na kutafuta kazi mataifa ya kiarabu sababu wanamifumo halali ya kukandamiza haki za kibinadamu na waafrika kwao ni sawa na mbwa ya jalalani. Why hawasikii na kutawakataza kila uchao?

waache wakajifunze kwa matendo na haina haja ya serikali kuwahangaikia watu wazima walioamua kwa hiyari yao kwenda kurisk maisha yao huko ughaibuni kwa kutaka kabisa sio kubembelezwa.
 
Sasa Mtanzania wa kawaida masikini anapata wapi ufahamu wa kujua kwamba siyo ajira yeyote nje ya nchi ni ajira ya maana. Watanzania wanatoka Tz vijijini wnanaenda miji mikubwa hapahapa nchini wanaishia kutapeliwa kwa ahadi ya maisha bora. Huoni kwamba kwa raia wa namna hiyo kurubuniwa kwa ahadi ya ajira bora nje ya nchi ni rahisi zaidi?
Kulikuwa na kampuni iliyokuwa ikimilikiwa na mbunge mstaafu, Abbas Mtemvu, ambayo ndiyo ilikuwa ikiwapeleka wasichana wengi huko. Msichana anaanzaje kukataa au kutilia shaka ahadi za ajira za mbunge nje ya nchi?
 
Umeandika maelezo mengi lakini uneongopa kwenye maan ya deportation
Deportation ni inaweza kufanywa hata kama una kila kitu. Unaweza kuwa na vibali vyote bado ukafanyiwa deportation endapo kuna makosa umefanya au pia sababu za kiusalama zikafanya uwe deported
Kiongozi, sijaongopa hata kidogo.....
Wewe ungeongezea tu kuwa, Deportation sio kutokuwa na vibali pekee...kuna weza kuwa na sababu nyingine...
 
Waafrika tuna matatizo sana kubwa zaidi ni mazingira mabovu yaliyopo kwetu yanayowafanya watu wakimbie mbali na Africa
 
Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman.

Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya ambao wao Ubalozi wao umewasaidia na kuwarudisha nyumbani hivyo na wao wakiona ni bora wa waseme Watanzania ambao wamekwama huko.

Kuna sehemu Mimi nilishasema waarabu si watu hao ni Sakwa na wanyama kabisa hawana utu. Nashangaa sana nchi yetu hata haichukui hatua yoyote kunusuru shida wanayopata Mabinti zetu huko Ughaibuni

Hawa ni ndugu zetu katika imani mnawasingizia tu. Nyinyi wagalatia acheni roho mbaya na chuki zetu kwetu sisi waarabu wa jambiani
 
Ubalozini wamejazana watoto wa Samia tu na wasio na msaada wowote Kwa wtz
 
Zile swala 5 zao ni uzushi
Swali 5 ni Sanga ya Toto tu ukifika huko Binti anaolewa na vijana nyumba nzima mpaka Baba mwenye miji anajipigia tu kibaya zaidi wanachokonoa na huko nyuma!!!!
 
SINA HAKIKA KAMA UNAELEWA KIZUNGU....
HAO WATU WAMESHIKILIWA/WAPO CHINI YA ULINZI KWA SABABU YA KUTOKUWA NA NYARAKA STAHIKI ZA KUISHI NA KUFANYA KAZI HUKO AU PENGINE KWA SABABU NYINGINE ZISIZOKUBALIKA KWENYE NCHI HUSIKA HIVYO WANASUBIRIA KURUDISHWA MAKWAO (Deportation) . Naamini hata huku Afrika ukishikiliwa kituo cha polisi usitegemee mamsosi ya kueleweka
Natoa ushauri wa BURE kwa wanaopata fursa za kwenda kufanya kazi ughaibuni; ni vizuri wajiulize au waulize maswali yafuatayo kabla ya kwenda;
1. Kibali cha kufanya kazi ugenini (work permit) nani anaomba na kukilipia? kama hakipo usiende na ukienda ujue utaishiakufungiwa ndani ya geti kama mfungwa kuepuka kukamatwa
2. Kiasi cha mshahara; ulizia take home/Net (achana na Gross hiyo inadanganya)
3. Bima ya matibabu (Ugenini matibabu ni ghali sana hivyo lazima uwe na bima).
4. Taratibu za makazi (utakaa wapi) kwa gharama za nani
5. Taratibu za likizo (Likizo inakuwa baada ya muda gani na ya siku ngapi) kwa kawaida unastahili kupewa mwezi mmoja kwa mwaka.
6. Muda wa kufanya kazi ( utafanya kazzi masaa mangapi kwa wiki). Usijekufanyishwa kazi kama punda
7. Ikiwezekana uliza na Mkataba wa ajira na uache copy huku nyumbani

Wote wanaolialia huko ughaibuni jua tu, wametoka makwao bila kuuliza hayo maswali..
NISISITIZE; Usitoke kwenu kama huna muongozo wa hayo maswali; UTANISHUKURU BAADAE!!!
Acha ujinga na wewe kizungu nawe ndiyo sababu? Kwani hao Wafuga Midevu na Majini wote wanajua Kizungu?

Hata kama wana makos a si wa warudishwe makwao? Sasa wanawake kwa hapo ili kila wanapotaka wao wanaenda tu kuwafanyia Ufirauni wao!! Waarabu si watu kabisa!!
 
Back
Top Bottom