Waarabu bado wanayo ile dhana ya enzi za utumwa kwamba mtu mweusi ni mtumwa wao!
Hawa watu siyo wenzetu kabisa japo sisi bado tuna ishi nao huku Afrika na wengine tumewapa madaraka makubwa serikalini,.
Wao waarabu wamewaoa dada zetu ila hawataki kabisa dada zao waolewe na waafrika.
Eti husema kwamba ni aibu kuolewa na mtumwa(mwaafrika)
Acha maneno ya kibaguzi fanya kazi na acha kulialia mwanaume. Hujaishi na waarabu ndio maana unaongea usichokijua, hakuna race watu wake wakarimu kama waarabu, japo kuna wachache hawako poa kama ilivyo kwa jamii zingine za kiafrika n.k.
Kwamba waarabu wameowa dada zetu ila hawataki kabisa dada zao waolewe na waafrika 😁 mwanaume mzima unaongea haya!! Kwahiyo kama hawataki kuolewa utalazimisha!! Kwamba ni wabaguzi sababu wamegoma kuozesha binti zao!! Kila jamii na desturi zake, usifikiri waarabu ni watu wa kukubali kama zilivyo jamii zingine au wanawake wa kibongo japo sio wote.
Ushauri wangu tu usio na malipo, acha ubaguzi, acha chuki, acha ile dhana ya kujiona mtu ambae hawakuthamini, wanakubagua n.k.