Miriam Odemba na majigambo kipindi cha Mkasi

Vipi kuhusu wakwaya?
 
Back to the topic,
kipindi kilikua hovyo sana baada ya interviewee kudominate mjadala. Salama nae akaona isiwe tabu akamwacha miriam atambae anavyotaka. Haikupendeza na salama kama uko humu jf (najua umo) tafadhali siku nyingine usiwe unamwacha interviwee atawale.
 
Yan alikua anatiririka tu asubir kuulizwa japo nmependa confidence yake
 
Salama Jabil alikutana na "nyaturi "
 
yaani nimeangalia cha Shilole anajielewa na anajibu anachoulizwa, Miriam anaongea kama yupo na shost wake
Yani ye alikuwa anatiririka tu..Anaongea hadi kupitiliza
 
it seems alikua anaitafuta sana hiyo nafasi ya kuhojiwa atoe ya moyoni, mirian ni mmoja wa mastaa ambao hawajabahatika kufanyiwa mahojiaono na vyombo vya habari hapa nchini, so alikua anatoa ya moyoni, kuhusu mashauzi muhimu
 
Jiheshimu majigambo ni tabia za watu wapo wasukuma wana viburi majigambo mfano mtemi chenge hao wajaluo ukiambiwa uwataje wenye majigambo utaishia na uyo odemba tu
 


Unaangalia kipindi cha mkasi ujifunze kwa macelebrity? Achia sofa nenda shule, hakuna cha kujifunza kwa kina Odemba, labda kama unatafuta babu wa kizungu
 
Tutake radhi.
 
Jiheshimu majigambo ni tabia za watu wapo wasukuma wana viburi majigambo mfano mtemi chenge hao wajaluo ukiambiwa uwataje wenye majigambo utaishia na uyo odemba tu
Wajdluo kweli wana majigambo na dharau, nimeolewa na wajaluo nawajjua hata hajakosea. Halafu akiwa na kauwezo kidogo utakoma na masifa yake.
 
Kama alikitawala kipindi sio kosa lake, Ni kosa la Salama, nishawahi kuona Spolah show akimwambia guest kuwa yy ndo host WA kipindi so apunguze munkari!
 
too much is harmful
anaongea mpaka anaboa, ingawa FACT ila alitakiwa ajibu kwa ufupi sio stori ndeeefu kama tamthiliya ya kifilipino
 
Kwa
Kwanini unamwita mtu mjinga,akikutusi nae utakasirika?muwe na adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…