Miriam Odemba na majigambo kipindi cha Mkasi

Miriam Odemba na majigambo kipindi cha Mkasi

Leo nimepata muda wa kuperuzi nikaona mahojiano ya huyu mwanamitindo na timu ya mkasi huko youtube,huyu mwanamke amejisifia hadi kama wahusika wameshindwa kuendana na kasi yake,kipindi kimegeuka tamthilia,miriam uswahili umekujaa,umeharibu kipindi cha watu,ujuaji mwingi mno,daah!!



Huyu Dada nilisoma naye Meru Primary, alikuwa mtundu kweli
 
Back
Top Bottom