Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Je hii speed yakutangaza mapambano dhidi ya corona inaendana na uhalisia? Wizara makatazo yake hayapo specifiki kulingana na tatizo lilivyosambaa bali wapo general.
Unasema tusikusanyike bila kusema wapi, unasema watu wasiingie mahabusu bila vipimo bila kutuambia lini mmepeleka wataalam wa afya kila kituo Cha polisi, unasema ibada 30mnts lakini utuambii kama umekataza watu kwenda shule au umezuia watu kwenda sokoni nk.
Tunapotoa matangazo kwa shinikizo la misaada tujitahidi kutumia pia PHD zetu kufanya analysisi