Makoti soma tena anamaanisha yani yeye ndo awe mmiliki wa app mimi nitamsaidia kupata wadada wenye matusi na viburi kama customer care hapoNenda playstore andika loan app, zitakuja kibao.
Ukishamaliza kutengeneza app sema mama tunakuja kukuungishaa mapema tu.. sema uanze kukopesha angalau 50k hivi..Hatari Wana jukwaa
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu.
Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu.
Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app hiyo.
Ninaomba msaada wenu tafadhali
Unazo pesa za kutakatisha tujiandae kukopa bila kulipa?Hatari Wana jukwaa
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu.
Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu.
Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app hiyo.
Ninaomba msaada wenu tafadhali
una maana Gani??Unazo pesa za kutakatisha tujiandae kukopa bila kulipa?