Misafara na vimulimuli: Ushamba wa kisiasa

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1710910675963.png

Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia.
1710920805654.png

Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki
1710920851454.png

Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli
1710921477971.jpeg

Ajali msafara wa Mkonda huko kusini​

Tuibue hoja moja inayomuelezea mwanasiasa au kiongozi anayejitutumua hadharani bila aibu wakati hastahili.

Sasa hivi kuna tabia ya viongozi, ukiacha Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, wanaopenda kujikweza katika jamii kwa kupenda misafara na vurugu ya vimuli muli.

Ukiacha hao pao niliowata hapo juu, wengine wote ni washamba wa kisiasa. Wanajitutumua mbele ya wananchi, kwa magari ya wananchi na kwa kodi za wananchi. Wanajiweka kimbelembele wakati kwa kweli hawastahili.

Ajali ya kishamba iliyomtokea Makonda na msafara wake huko mikoa ya Kusini inatakiwa kuwa somo kwa viongozi washamba.

Mbaya zaidi hata kwa hao viongozi wanano stahili, Polisi husimamisha matumizi ya barabara kwa muda mrefu li viongozi wakuu wapite. Huo vile vile ni ushamba wa madaraka.

Huko mikoani Polisi washamba wa kujipepenea kwa mamlaka wanaweza zuia njia kwa muda mrefu huku shughuli za kiuchumi za wananchi wa kawaida zikisimama.

Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango aliwahi kukemea tabia hii ya kishamba, lakini pengine akakosa mamlaka ya kusimamia hili.

TUBADILIKE!
 
Haya mambo aliyaleta Magufuli
 
Umesema kweli make juzi kati hapa naibuwaziri mkuu akitoka Chato kwenye misa ya mzee jiwe magari yalizuiwa kwa takribani saa mbili kitu kilichotumiza sana sisi wasafiri
 
Sahvi vimulimuli vingi kweli kweli

Ova
 
Kweli kabisa, ving’ora na escort zinatakiwa kwa Mh. Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu basi..!!

Viongozi wengine hawatakiwi kupewa vimuli muli hata kidogo, mbona Katibu Mkuu wa CCM hana ving’ora iweje Makonda apewe ving’ora? Sbb boss wake ambaye ni Katibu Mkuu CCM Mh. Dkt Nchimbi hana ving’ora.

Pia mshamba mwingjne ni Mbowe, nae anataka apewe vimuli muli wakati yeye sio kiongozi hao wanne hapo juu, ukiwa kiongozi wa kisiasa na hauko nafasi hizo nne hapo juu naona hakuna sbb ya kupewa ving’ora kabisa.
 
Kweli kabisa mkuu, na tuna wabunge nao wanataka escorts na vimuli muli.
Ushamba nchi zetu masikini ni mzigo kwa mwananchi!
 
View attachment 2939607
Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia.
View attachment 2939771
Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki
View attachment 2939773
Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli
View attachment 2939789
Ajali msafara wa Mkonda huko kusini​

Tuibue hoja moja inayomuelezea mwanasiasa au kiongozi anayejitutumua hadharani bila aibu wakati hastahili.

Sasa hivi kuna tabia ya viongozi, ukiacha Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, wanaopenda kujikweza katika jamii kwa kupenda misafara na vurugu ya vimuli muli.

Ukiacha hao pao niliowata hapo juu, wengine wote ni washamba wa kisiasa. Wanajitutumua mbele ya wananchi, kwa magari ya wananchi na kwa kodi za wananchi. Wanajiweka kimbelembele wakati kwa kweli hawastahili.

Ajali ya kishamba iliyomtokea Makonda na msafara wake huko mikoa ya Kusini inatakiwa kuwa somo kwa viongozi washamba.

Mbaya zaidi hata kwa hao viongozi wanano stahili, Polisi husimamisha matumizi ya barabara kwa muda mrefu li viongozi wakuu wapite. Huo vile vile ni ushamba wa madaraka.

Huko mikoani Polisi washamba wa kujipepenea kwa mamlaka wanaweza zuia njia kwa muda mrefu huku shughuli za kiuchumi za wananchi wa kawaida zikisimama.

Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango aliwahi kukemea tabia hii ya kishamba, lakini pengine akakosa mamlaka ya kusimamia hili.

TUBADILIKE!
Naunga mkono hoja Misafara ya viongozi inachosha, inatesa na kurudisha nyuma maendeleo, IGP Sirro peleka Traffic Sweden kujifunza misafara ya wenzetu, Time is Money!
P
 
Back
Top Bottom