Misafara ya viongozi wa kitaifa: Kwanini iwe na mwendokasi ule?

Snippers pia wana mahesabu yao mkuu so hata speed iweje anafanya calculation ya speed yako na mahali ulipo, so bullet inakufuata while you are moving na hii technology inatumika kuangusha ndege.

Ni kweli lakini kazi ya huyo sniper inakuwa ngumu sana at high speed. Besides, mara nyingi hii security feature ya speed ni kujikinga na opportunistic assassins, professional hit men watakupata tu. Njia moja ni kuuvuruga huo msafara kwa kuleta accident - ala Sokoine.
 
Case ya Hayati Sokoine ni uzembe wa sweepers yaan zile gari za mbele kushindwa kuzuia gari iliyokuwa inakuja opposite direction. Ndio maana kuna utata, ingawa wakati huo security kwa viongozi haikuwa tait sana kupishana na msafara wa kiongozi au kiongozi kwenda umbali mrefu na gari ilikuwa kawaida tu.
 
Huyu bibi ana mahaba yaliyopitiliza kwa Kikwete mpaka anajitoa ufahamu. Me nadhani sababu ni za kiusalama hasa issue ya snipers.

Sababu yoyote iwayo, bila barabara kuwa nzuri wangeenda mwendo kasi unaotajwa hapa? Fikiri japo kiduchu.
 
Case ya Hayati Sokoine ni uzembe wa sweepers yaan zile gari za mbele kushindwa kuzuia gari iliyokuwa inakuja opposite direction. Ndio maana kuna utata, ingawa wakati huo security kwa viongozi haikuwa tait sana kupishana na msafara wa kiongozi au kiongozi kwenda umbali mrefu na gari ilikuwa kawaida tu.

I will take your word.

Nilichomaanisha ni kuwa professional assassins watajaribu kupunguza kasi ya msafara ili sniper aweze kuwa na target ya kirahisi. Remember president J.F. Kennedy's assasination?
 
Yes issue ya JFK ni kama tu Hayati Sokoine,, wakati huo walikuwa wanatumia magar ya wazi juu,, snipper alitake advantage ku shoot toka juu ghorofani, baada ya hapo hakuna kiongozi alitumia gar ya wazi juu. So mkuu unaona ya late Sokoine ni opposite direction cars na JF ni top open car hizo ndizo weakness za wanausalama wa viongozi ambazo kwa sasa hazipo tena..but all in all Mungu pekee ndie mlinzi wetu wa kweli hao wengine ni mbwembwe tu kwa sababu technology iko juu sana.
 
Snipers wakipangwa, wanakutoa tu hata kwenye hiyo speed
 
cbabu kubwa ya mwendo ks wa misafar mikubw ni hali ya usalam wa kiongoz na.msafar kwa ujumla ni cio kuwah au laaaaaaa!!!!!
 
Yes issue ya JFK ni kama tu Hayati Sokoine,, wakati huo walikuwa wanatumia magar ya wazi juu,, snipper alitake advantage ku shoot toka juu ghorofani, baada ya hapo hakuna kiongozi alitumia gar ya wazi juu. So mkuu unaona ya late Sokoine ni opposite direction cars na JF ni top open car hizo ndizo weakness za wanausalama wa viongozi ambazo kwa sasa hazipo tena..but all in all Mungu pekee ndie mlinzi wetu wa kweli hao wengine ni mbwembwe tu kwa sababu technology iko juu sana.

I thought mada ilikuwa kwa nini misafara ya viongozi inakwenda kwa kasi kubwa. Sitaki kuingia kwenye conspiracy theories za vifo vya Sokoine na Kennedy. Kuna makubwa zaidi ya official stories. I do not want to delve into that.
 
Snipers wakipangwa, wanakutoa tu hata kwenye hiyo speed

Chunguza na hili , kwenye msafara hasa wa raisi sio magari yote yanakuwa kwenye mstari kuna kama mawili hivi huwa yanatembea parallel kama mmoja anataka kumovertake mwenzake. By the way ngoja niachie hapa
 
Back
Top Bottom