Snippers pia wana mahesabu yao mkuu so hata speed iweje anafanya calculation ya speed yako na mahali ulipo, so bullet inakufuata while you are moving na hii technology inatumika kuangusha ndege.
Case ya Hayati Sokoine ni uzembe wa sweepers yaan zile gari za mbele kushindwa kuzuia gari iliyokuwa inakuja opposite direction. Ndio maana kuna utata, ingawa wakati huo security kwa viongozi haikuwa tait sana kupishana na msafara wa kiongozi au kiongozi kwenda umbali mrefu na gari ilikuwa kawaida tu.Ni kweli lakini kazi ya huyo sniper inakuwa ngumu sana at high speed. Besides, mara nyingi hii security feature ya speed ni kujikinga na opportunistic assassins, professional hit men watakupata tu. Njia moja ni kuuvuruga huo msafara kwa kuleta accident - ala Sokoine.
Huyu bibi ana mahaba yaliyopitiliza kwa Kikwete mpaka anajitoa ufahamu. Me nadhani sababu ni za kiusalama hasa issue ya snipers.
Case ya Hayati Sokoine ni uzembe wa sweepers yaan zile gari za mbele kushindwa kuzuia gari iliyokuwa inakuja opposite direction. Ndio maana kuna utata, ingawa wakati huo security kwa viongozi haikuwa tait sana kupishana na msafara wa kiongozi au kiongozi kwenda umbali mrefu na gari ilikuwa kawaida tu.
Yes issue ya JFK ni kama tu Hayati Sokoine,, wakati huo walikuwa wanatumia magar ya wazi juu,, snipper alitake advantage ku shoot toka juu ghorofani, baada ya hapo hakuna kiongozi alitumia gar ya wazi juu. So mkuu unaona ya late Sokoine ni opposite direction cars na JF ni top open car hizo ndizo weakness za wanausalama wa viongozi ambazo kwa sasa hazipo tena..but all in all Mungu pekee ndie mlinzi wetu wa kweli hao wengine ni mbwembwe tu kwa sababu technology iko juu sana.I will take your word.
Nilichomaanisha ni kuwa professional assassins watajaribu kupunguza kasi ya msafara ili sniper aweze kuwa na target ya kirahisi. Remember president J.F. Kennedy's assasination?
Yes issue ya JFK ni kama tu Hayati Sokoine,, wakati huo walikuwa wanatumia magar ya wazi juu,, snipper alitake advantage ku shoot toka juu ghorofani, baada ya hapo hakuna kiongozi alitumia gar ya wazi juu. So mkuu unaona ya late Sokoine ni opposite direction cars na JF ni top open car hizo ndizo weakness za wanausalama wa viongozi ambazo kwa sasa hazipo tena..but all in all Mungu pekee ndie mlinzi wetu wa kweli hao wengine ni mbwembwe tu kwa sababu technology iko juu sana.
Snipers wakipangwa, wanakutoa tu hata kwenye hiyo speed