Misalaba wavaayo watu maarufu akina Diamond, Masanja na wengineo

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani?
Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji

Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi kuiona popote kama alama za Christianity au Kanisani.



 
Hivi ni kweli kuwa masikini kazi yao ni kuwajadili waliofanikiwa?
 
Ni swaga tuu, kama wewe unavyo vaa saa ya mkononi..,
 
hy miduara n kwa ajili ya kupitisha ile minyororo il ivaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…