King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Haya Basi Firimasoni hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalaba ni ishara ya devilish practices...
Kama hujui originally ilitumika kama namna ya kusherehekea mafanikio ya kumuua mtu aliyejiita masihi.
Furthermore ukatoliki ni UPAGANI!
Msalaba ni ishara ya devilish practices...
Kama hujui originally ilitumika kama namna ya kusherehekea mafanikio ya kumuua mtu aliyejiita masihi.
Furthermore ukatoliki ni UPAGANI
Then so what???
Hela sio maharage mkuu.Na wewe si uvae, au hauna hela?
Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani?
Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji
Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi kuiona popote kama alama za Christianity au Kanisani.
View attachment 791016
View attachment 791013
Umeona eeh nyani aoniNawewe Avatar yako inawakilisha nini?
Msalaba uko wapi hapo?? Msalaba umekaa kama alama ya jumlisha (+). Sasa huoni hio CHENI iko na duara kwa juu??Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani?
Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji
Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi kuiona popote kama alama za Christianity au Kanisani.
View attachment 791016
View attachment 791013
Wanampenda Yesu ila basi tu.Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani?